Hivi lotion hii inaweza ning'arisha uso?

Kama hutaki kujichubua na unataka ngozi iwe nzuri tumia queen elizabeth, nasikia ni nzuri sana ila mi sipakagi mafuta so sina ushahidi wa kutosha. Ngoja waje wanaoyajua.
 
Sipaki kitu my girl.
Ngozi yangu ina mafuta sana na nipo sehemu ya joto.
Aisee hongera hadi miguuni, mimi pia huwa napenda nisipake sababu ya joto ila miguu huwa inapauka na hata usoni nikipitisha let's say siku tatu bila kupaka naota vipele vile vidogodogooo vinawasha hatari
 
Ila my girl nategemea xmas hii nipake mafuta japo kwa hii siku.
Pole kwa kupata vipele sometimes. Nadhani si hali ya kawaida.
 
Hakuna mtu mweupe hii ni mentality tupia tambua wanakupenda ukiwa uchi na siyo ukiwa mweupe
 
Back
Top Bottom