Hivi lotion hii inaweza ning'arisha uso?

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
897
697
Habari wakuu....

Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde...

Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE....

Sasa sijui inaweza nisaidia??
 
Vaseline ni mafuta ya kawaida tu sdhani kama utang'aa kama unavyotarajia

Baki kama ulivyo tu kama VP
Kujichubua cyo ishu
 
Lakini wewe ni mtoto wa kiume nashindwa na nashangazwa na point ya wewe kutaka kujing'arisha uso!

What for!?
 
Umenikumbusha rafiki yetu mmoja mtoto wake alikuwa mweusi tangu akiwa kichanga wakawa wanamwita mama cheusi mangala
Sasa mtoto anavyoendelea kukua anaeza kuichukia hali hiyo ,mwisho wa siku atajiVera Sidika bureee
 
Nakupenda jinsi ulivyo ukijibadilisha usije kuomba ushauri humu
 
Mi nna lotion ya kung'arisha lakn nnayo mwilini kama upo tayar mi natupiamo nakumwagiya unafeel ngozi inatanuka yenyewe na kuwa smooth.
 
Habari wakuu....

Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde...

Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE....

Sasa sijui inaweza nisaidia??
Upo mkoa gani? Kama huna hela hata ule chokaa huwezi kuwa mweupe
 
Kwa nini unataka uwe maji ya kunde? Mungu ana makusudi yake kukufanya hivyo ulivyo. Samahani kwa kutoka nje ya mada na kuingilia uhuru wako binafsi, nimesema tu in good faith
Sasa kama hela zipo...kwanini usiwe soap soap kidogo mkuu...kwann ujifubaishe??
 
Unataka ung’ae uso ili iweje? Jipende jinsi ulivyo usiiharibu ngozi yako kwa kutumia chochote kile.

Habari wakuu....

Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde...

Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE....

Sasa sijui inaweza nisaidia??
 
Back
Top Bottom