kumbe ke wenye akili bado mpo?Vaseline ni mafuta ya kawaida tu sdhani kama utang'aa kama unavyotarajia
Baki kama ulivyo tu kama VP
Kujichubua cyo ishu
Huenda ikawa kuna anayopitia na weusi wakeKwa nini unataka uwe maji ya kunde? Mungu ana makusudi yake kukufanya hivyo ulivyo. Samahani kwa kutoka nje ya mada na kuingilia uhuru wako binafsi, nimesema tu in good faith
Umenikumbusha rafiki yetu mmoja mtoto wake alikuwa mweusi tangu akiwa kichanga wakawa wanamwita mama cheusi mangalaHuenda ikawa kuna anayopitia na weusi wake
Ukute wanamtania Cheusi mangala
Nikiona uso wa mtu umeharibika/umeungua kwaajili ya kujichubua naumia sanakumbe ke wenye akili bado mpo?
Sasa mtoto anavyoendelea kukua anaeza kuichukia hali hiyo ,mwisho wa siku atajiVera Sidika bureeeUmenikumbusha rafiki yetu mmoja mtoto wake alikuwa mweusi tangu akiwa kichanga wakawa wanamwita mama cheusi mangala
Upo mkoa gani? Kama huna hela hata ule chokaa huwezi kuwa mweupeHabari wakuu....
Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde...
Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE....
Sasa sijui inaweza nisaidia??
Sasa kama hela zipo...kwanini usiwe soap soap kidogo mkuu...kwann ujifubaishe??Kwa nini unataka uwe maji ya kunde? Mungu ana makusudi yake kukufanya hivyo ulivyo. Samahani kwa kutoka nje ya mada na kuingilia uhuru wako binafsi, nimesema tu in good faith
Habari wakuu....
Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde...
Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE....
Sasa sijui inaweza nisaidia??
Bhaccc huna haja yakujichubua ,baki ulivyoWalaaa...mi sio mweusi kupitiliza