Hivi lotion hii inaweza ning'arisha uso?

Ajibiwe swali aliloulizwa hayo mengine ni kiherehere cha wachangiaji.kataka kujua lotion ya kumng'arisha. Mnajifanya kitoa ushauri nasaha.
 
Kwa nini unataka uwe maji ya kunde? Mungu ana makusudi yake kukufanya hivyo ulivyo. Samahani kwa kutoka nje ya mada na kuingilia uhuru wako binafsi, nimesema tu in good faith
Itakuwa kasikia kina John wanapenda maji ya kunde.
 
Back
Top Bottom