Hivi logic ya kuajiri mpaka wahasibu wa India, Kenya ni sheria inaruhusu au uhamiaji scams?

SilvaG

Member
Jul 23, 2011
9
0
Kuna makampuni yapo mwekezaji =foreigner, manager =foreigner, mhasibu= foreigner, bankers=foreigner, auditors=foreigner
Hata kama TRA watafanya audit yao kwa kawaida baada ya miaka 3 unategemea huo mlima wa data abaini wizi kweli kama si kupitisha kila kitu???
Kama serikali ingekua makini hasa eneo kama la uhasibu ambapo information zote za kampuni zitakuwa recorded ingeamua lazima awe mtanzania vinginevyo tunacheza tu.
 
kuna makampuni yapo mwekezaji =foreigner, manager =foreigner, mhasibu= foreigner, bankers=foreigner, auditors=foreigner
hata kama tra watafanya audit yao kwa kawaida baada ya miaka 3 unategemea huo mlima wa data abaini wizi kweli kama si kupitisha kila kitu???
Kama serikali ingekua makini hasa eneo kama la uhasibu ambapo information zote za kampuni zitakuwa recorded ingeamua lazima awe mtanzania vinginevyo tunacheza tu.

ni kampuni ipi hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom