Mwanaume Anapenda kwa kutumia akili na moyo unafuata baadae na wako less emotional ,sisi wanawake yaani we are so emotional na tunapenda na moyo wote bila hata kutumia akili.wanawake tupende kwa akili ugomvi ukianza Leo Uishe Leo sio mwaka ujao.simplify your life wanaume hawana Muda na mwanamke anartishia kulia kila saa na kulalamika kwa kila mtu.unajiabisha pale unapowatangazia watu wote duniani Tabia Za mumeo na Bado upo nae.Tuache unafiki