Hivi lini wanawake tutaelewa wanaume wanapenda kwa kutumia akili na wanawake moyo

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Mwanaume Anapenda kwa kutumia akili na moyo unafuata baadae na wako less emotional ,sisi wanawake yaani we are so emotional na tunapenda na moyo wote bila hata kutumia akili.wanawake tupende kwa akili ugomvi ukianza Leo Uishe Leo sio mwaka ujao.simplify your life wanaume hawana Muda na mwanamke anartishia kulia kila saa na kulalamika kwa kila mtu.unajiabisha pale unapowatangazia watu wote duniani Tabia Za mumeo na Bado upo nae.Tuache unafiki
 
Hahahahahaaaaaaaaa! UJUMBE UAFAIKIE DEKADEKA UNTD KOKOTE WALIPO kwa udhamini mzito wa pesa ya EPA!!!!!!!!!!!

As much as i wanna desagree with you, what you said is a FACT! Ila umesahau kitu kimoja tu! Moyo hauendeshwi kwa remote! They cant help it!
 
In the name of the husband and a woman and a holy bed Amen
 
wengine tunapopenda huwa tunashirikisha akili na moyo.......na hatuachi mioyo yetu icontrol brains zetu....... Nadhani hatuhusiki hapo
 
Mwanaume Anapenda kwa kutumia akili na moyo unafuata baadae na wako less emotional ,sisi wanawake yaani we are so emotional na tunapenda na moyo wote bila hata kutumia akili.wanawake tupende kwa akili ugomvi ukianza Leo Uishe Leo sio mwaka ujao.simplify your life wanaume hawana Muda na mwanamke anartishia kulia kila saa na kulalamika kwa kila mtu.unajiabisha pale unapowatangazia watu wote duniani Tabia Za mumeo na Bado upo nae.Tuache unafiki

Hii ni nini sasa? Siasa, Biology, Hisabati au sayansi kimu?
 
Mwanaume Anapenda kwa kutumia akili na moyo unafuata baadae na wako less emotional ,sisi wanawake yaani we are so emotional na tunapenda na moyo wote bila hata kutumia akili.wanawake tupende kwa akili ugomvi ukianza Leo Uishe Leo sio mwaka ujao.simplify your life wanaume hawana Muda na mwanamke anartishia kulia kila saa na kulalamika kwa kila mtu.unajiabisha pale unapowatangazia watu wote duniani Tabia Za mumeo na Bado upo nae.Tuache unafiki
owkey kulialia hakupo
 
Nimefurahi tu uliposema waache kusema hovyo tabia za wame zao
 
Back
Top Bottom