Hivi leo meya Wa jiji la dar alikuwa uwanjani kweli?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Wanajamii wezangu naomba mnijuze hivi leo meya wa jiji alikuwa uwanjani kwenye uzinduzi wa ndege kweli?na kama alikuwepo mbona hakukaaa Mbele na mtukufu rais?
Rais akitaka apendwe,na watanzania wa dar walio wengi ajitahidi sana ashirikiane na meya ambaye ndio mwenye Kura nyingi za wananchi wa jiji la dar es salamu
Pili mh rais anataka watanzania wawe wazalendo,kama mh rais Anataka wananchi wa dar wawe wazalendo rais ajitahidi sana kuonyesha mfano wa kutokuwagawa watu kwa makabila Yao ya kivyama
Vyama kwa sasa ni makabila kwa mujibu wa mh warioba,kuna kabila chadema,ccm,,na cuf kwa hiyo ni muhimu mh rais akiteuwa watumishi wa umma aangalie makabila yote haya,asiangalie kabila moja tu la ccm, na akaacha makabila mengine kama cuf,na chadema
 
Kwenye itifaki alikuwa anasoma, mara baada ya hapo akanza kubwabwaja Meya Hakuwepo.

Anyway anaendelea kuomba Shetania arudi afungie social network zote hahah
 
Wario kwa sasa tanzania makabila yetu ni cuf chadema,na ccm nanukuu warioba
Swali la kujiuliza mbona kabila moja ndio linateuliwa kufanya kazi za umma tu?mbona kabila moja ndio lenye haki ya kuonekana live kwenye tv?kabila moja ndio linaruhusi kufanya mikutano ya kisiasa tu?
 
Back
Top Bottom