Hivi leo Lowassa asimame kugombea Urais nani wa kumshinda?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Ipatikane tume huyu ya uchaguzi, uwanja uwe huru waachwe wachezaji wacheze fairly,nasema hivi hakuna wa kusimama nae.

Wataendelea kumtukana, hoja ya ufisadi kwake sio hoja tena maana ulikua ni uongo wa kutunga ambao mpaka leo hauna uthibitisho wowote.

Sidhani leo hii akisimama tena kugombea nafasi hiyo sijui watamzushia nini tena, si ugonjwa tena wala ufisadi vyote yalikua matusi na propaganda kwake lakini leo sijui watazusha nini tena.

Mnaosema kua Lowassa hawezi kuongoza nchi hii ninyi ni kina nani? Thibitisheni sababu za yeye kutokuongoza taifa hili kama sio woga na hofu tu. Wenye maamuzi hayo ni watanzania na si kundi la watu wachache.
 
Labda kama tume ya uchaguzi iwe Ni ile tume ya uchaguzi ya marekani.... otherwise tukubali kitawaliwa na CCM milele
 
Mwenyewe anajijua kabisa hawezi kuwa rais wa inchi hiii kwani raisi tuliyemtaka mwadirifu asiye fisadi na makundi ya wapiga dill tunaye ambaye MH. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Hata lowasa akijaribu leo kama atapata hata asilimia 0.0001% atakuwa ameshindaaa. Magufuli chapa kazi tu, Mungu anakuonaa wala usihofu.
 
Usiandike kwa jazba
 
Atagombea kupitia chama gani au mgombea huru amethibitishwa? Kwanza kaa ukijua Lowasa hatagombea kuoitia chadema wala ccm, sasa chama gani kinaweza kutoa Rais zaidi ya hivyo viwili?
 
Ipatikane tume huyu ya uchaguzi, uwanja uwe huru waachwe wachezaji wacheze fairly,nasema hivi hakuna wa kusimama nae.

Wataendelea kumtukana, hoja ya ufisadi kwake sio hoja tena maana ulikua ni uongo wa kutunga ambao mpaka leo hauna uthibitisho wowote.

Sidhani leo hii akisimama tena kugombea nafasi hiyo sijui watamzushia nini tena, si ugonjwa tena wala ufisadi vyote yalikua matusi na propaganda kwake lakini leo sijui watazusha nini tena.

Mnaosema kua Lowassa hawezi kuongoza nchi hii ninyi ni kina nani? Thibitisheni sababu za yeye kutokuongoza taifa hili kama sio woga na hofu tu. Wenye maamuzi hayo ni watanzania na si kundi la watu wachache.
Tuliosema Lowasa ni fisadi ni sisi kina Mbowe, Lema, Msigwa, Mnyika na Lisu, Na tulishasema ushahidi tunao.
 
Mkuu umebui viroba au?? Kumbuka zile kura tulimpa majuzi ikiwamo yangu zilikuwa za hasira tu dhidi ya ccm ila kwa sasa ile taswira mbaya dhidi yake impepungua sana.
 
Mwenyewe anajijua kabisa hawezi kuwa rais wa inchi hiii kwani raisi tuliyemtaka mwadirifu asiye fisadi na makundi ya wapiga dill tunaye ambaye MH. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Hata lowasa akijaribu leo kama atapata hata asilimia 0.0001% atakuwa ameshindaaa. Magufuli chapa kazi tu, Mungu anakuonaa wala usihofu.
Vipi siku hizi kauli za "Lowassa mgonjwa" mbona hazisikiki? Safari hii mtahenya kweli maana mzee ndo anazidi kuwa mbichi tayari kuwajampisha kwenye uchaguzi ujao
 
Ipatikane tume huyu ya uchaguzi, uwanja uwe huru waachwe wachezaji wacheze fairly,nasema hivi hakuna wa kusimama nae.

Wataendelea kumtukana, hoja ya ufisadi kwake sio hoja tena maana ulikua ni uongo wa kutunga ambao mpaka leo hauna uthibitisho wowote.

Sidhani leo hii akisimama tena kugombea nafasi hiyo sijui watamzushia nini tena, si ugonjwa tena wala ufisadi vyote yalikua matusi na propaganda kwake lakini leo sijui watazusha nini tena.

Mnaosema kua Lowassa hawezi kuongoza nchi hii ninyi ni kina nani? Thibitisheni sababu za yeye kutokuongoza taifa hili kama sio woga na hofu tu. Wenye maamuzi hayo ni watanzania na si kundi la watu wachache.
Kamanda unatuletea mambo ya kijinga kabisa. Hivi bado unataka kutuletea viongozi walewaleee. Wapoo tu toka miaka hiyo. Badala ya kufikiria new generation katika kuleta mapambano ya kiuchumi ya kisasa unatuletea wazee walewale. Umewadharau sana vijana kwa uzi huu. Mnataka kuongozwa na wazee miaka yoote mpaka lini. Hivi mbona hambadiliki. Hivi unadhan huyu mzee atatuletea vitu gani vipya. Hivi ulimsikiliza wakati wa kampeni mwaka jana. Alizungumza nini una kumbukumbu yoyote. Kama siyo kusimama dakika mbili tano kuomba kura na kukaa. Wajameni tumwache mzee wa watu apumzike. Hivi hamuwezi kusoma hata alama za nyakati.wajameni mnatia aibuuu
 
Kwa michango yote ya hapo juu, mleta maada nadhani umejipatia majibu.

TUMECHOKA KITAWALIWA NA MAFISADI NA WAPIGA DILL. SASA HIVI TUMAYE MAGUFULI KIBOKO YAO.
 
Hahahaha Labda hata waje na akina Jeechaaa watatu au wanne
 
Vipi siku hizi kauli za "Lowassa mgonjwa" mbona hazisikiki? Safari hii mtahenya kweli maana mzee ndo anazidi kuwa mbichi tayari kuwajampisha kwenye uchaguzi ujao
Nakuonea huruma saana ila huyo bwana nafasi tena kipindi hiki kwani watanzania wanataka mabadiliko yaletwayo na waadilifuu. Hata afanye maajabu gani au hata akifufua wafu tukawaona kwa macho hivi sio kigezo kwamba anafaaa kuwa raisi. Kwa sasa uraisi sio level yake tenaaa. Yeye aendelee kuchunga ng'ombe wake tu. kama alivyosemaaaa
 
Kwa michango yote ya hapo juu, mleta maada nadhani umejipatia majibu.

TUMECHOKA KITAWALIWA NA MAFISADI NA WAPIGA DILL. SASA HIVI TUMAYE MAGUFULI KIBOKO YAO.
Wewe huelewi kitu bora ukakaa kimya tu, mafisadi gani hao wataje. Mahakama ya mafisadi kule haina kesi popo wanahamia Kule.
 
Kamanda unatuletea mambo ya kijinga kabisa. Hivi bado unataka kutuletea viongozi walewaleee. Wapoo tu toka miaka hiyo. Badala ya kufikiria new generation katika kuleta mapambano ya kiuchumi ya kisasa unatuletea wazee walewale. Umewadharau sana vijana kwa uzi huu. Mnataka kuongozwa na wazee miaka yoote mpaka lini. Hivi mbona hambadiliki. Hivi unadhan huyu mzee atatuletea vitu gani vipya. Hivi ulimsikiliza wakati wa kampeni mwaka jana. Alizungumza nini una kumbukumbu yoyote. Kama siyo kusimama dakika mbili tano kuomba kura na kukaa. Wajameni tumwache mzee wa watu apumzike. Hivi hamuwezi kusoma hata alama za nyakati.wajameni mnatia aibuuu
Kama huamini, waachie mikutano kisiasa na tume huru ya Uchaguzi uone mziki wake.
 
Vipi siku hizi kauli za "Lowassa mgonjwa" mbona hazisikiki? Safari hii mtahenya kweli maana mzee ndo anazidi kuwa mbichi tayari kuwajampisha kwenye uchaguzi ujao
Nakuambia hivi, Wanamuogopa kama nini! Hawana hoja zozote kwa sasa.
 
Mwenyewe anajijua kabisa hawezi kuwa rais wa inchi hiii kwani raisi tuliyemtaka mwadirifu asiye fisadi na makundi ya wapiga dill tunaye ambaye MH. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Hata lowasa akijaribu leo kama atapata hata asilimia 0.0001% atakuwa ameshindaaa. Magufuli chapa kazi tu, Mungu anakuonaa wala usihofu.
.......... Uliyemtaka wewe...
 
Back
Top Bottom