Hivi kweli Watanzania tupo milioni 60?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,519
Hii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?

Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
 
Sensor ilifanyika 2002 ,2012 na ya sasa ni 2022 ,kila baada ya miaka 10 inafanyika ,kama ulisoma hesabu ukijua tu sensor ya 2002 na 2012 ni wazi kwasasa unajua tunacheza around ngapi...hiyo 60m ni estimation ,2022 ndio tutapata exactly number.
2012 tulikuwa 55M
 
Hii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?

Kuna sensa iliyo cantina na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?


🤣CALCULUS:

From, dN/dt=kN,

where N number of population at a given time, t time for a population growth, k constant (population growth rate).

Ni maths tu mzee inaweza kukujulisha makadirio ya population hata mwaka 2025 onwards .
 
Hiyo 60milion ni assumption. Sababu the last counting tulikuwa 50+ ni ni kama 10 years ago. Kwasasa tunaweza kuwa 70+ or even close to 80milion
Hiyo 70+ na/au 80, zenyewe siyo “assumption”?
 
Uko sawa Mkuu lakini sidhani sensa yetu huwa inafanywa kwa umakini mkubwa. Hivyo wanaohusika kuhesabu Watanzania baadhi huwa wanalipua tu na kuweka namba FEKI bila kuingia nyumba kwa nyumba au ofisi kwa ofisi matokeo yake tunapata namba ambazo haziko accurate.

Pia niliwahi kusikia malalamiko ya wanaohusika kufanya sensa kwamba ni kazi ngumu, na muda ni mfupi na pesa wanayolipwa ni kiduchu Serikali inawalalia hivyo baadhi WANALIPUA TU.

Sensa ilifanyika 2002 ,2012 na ya sasa ni 2022 ,kila baada ya miaka 10 inafanyika ,kama ulisoma hesabu ukijua tu sensa ya 2002 na 2012 ni wazi kwasasa unajua tunacheza around ngapi...hiyo 60m ni estimation ,2022 ndio tutapata exactly number.
 
Back
Top Bottom