Hivi kweli uwalaza unatibika au ndio nimetapeliwa

Safi sana uwalaza wewe maliza kabisa uwe unapiga Dongo tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuuziwa ‘kichupa’ cha mafuta ya nyonyo (castor oil) kwa 13k kwanza ni kupigwa, pili inabidi ujue tofauti kati ya upara na uwalaza.... kati yake moja ni ugonjwa wa akili na nyingine ni ulemavu.

Kwa kesi yako inaangukia kundi la kwanza, huyo mama kakuona fursa acha aendelee kukupiga.... nchi hii tuna wajinga wengi mno.

BTW: Kuna kipindi mikoa fulani mlianza kusakwa muuawe ili watu waovu watajirike, vipi ndo ulikimbilia Buguruni au ilikuwa uvumi tu..?
Utauwa watu kwa mfadhaiko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo huyo huyo

Unaweza kuondoa upara kwa surgery! Wanachukua nywele zako wanapandikiza. Custor oil sidhani ma hata kama inatibu nenda kkoo inauzwa 4000.
 
Hauwezi kutibu kipara kwa hela ndogo hivyo!

Lazima utoe mamilioni ya pesa tena uende hospitali wakalifumue hilo libakuli la juu wachomeke nywele moja moja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mama mmoja msabato alikuwa anawahakikishia watu kuwa dawa ya mvi ipo tena kwenye mahubiri yaliyorushwa dunia nzima kutoka Dodoma.
Kuna mtu aliyanunua ametumia miezi minne mvi ndo zinaongezeka.
Yaani utapeli umebebwa na mafundisho ya kiroho ni hatari sana kukaribisha watu wa jinsi hii kwenye mikutano serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom