Hivi kweli tunafukuza wafugaji Loliondo na kuwapa hifadhi wawindaji. Ndo serikali ya Wanyonge au matajiri?

Aliaanzisha mzee wa ruksa, kwa kuwapa ardhi falme za kiarabu wakati wakijua kuna wazawa wafugaji wanaishi humo,
Naona sasa watawala wanaofuata wanarmendekeza kichezo ya kisheatani dhidi ya watanzania maskini.
Jambo la msingi ni viongozi waliopo madarakani kutambua kuwa hakuna garantee ya sisi kuishi hapa duniani.
"We will all pass away" wakumbuke kuweka hazina kwa maisha baada ya kifo (hii ni kwa waamini wa maisha baasa ya kifo)
 


Yaani ya Kimara hayana tofauti na Loliondo ccm ni ile ile

Nimekumbuka Malawi walisema "Tanzania wana Mt. Kilimanjaro, Ziwa Tanganyika, Victoria, Babari, Gold, Tanzanite, Diamond, Silver, Copper n.k...

Utitiri wa Mito, utitiri wa Mbuga za Wanyama n.k lakini bado wanataka na Ziwa Nyasa"

All in all kama vyote hivyo havijabadirisha maisha ya Watanzania, hata tukiwapa Waarabu Serengeti yote ni kazi bure.
 
Huyu magembe mrongo aise, hakuna watu walioumizwa, yeye anahisi kuumia had utoke madonda, hivi kumchomea MTU nyumba akakosa pakulala sio kumuumiza?
 
Sasa wakiwatoa nyie si huwa mnawatetea kwa kusema hiyo mikataba waliyoiingia wanaigeuka.....ni bora waendelee kuwatetea mabeberu maana wanapata hata 10% kulikoni kuwatetea manyumbu ambao mwisho wa siku wanatusi kutwa nzima kwenye mtandano wakati ni wao wakitetewa.......

Mean nadhani kama taifa tungefanya maandamano ya kupinga canada kufilisi mali ya tanzania (Bombardier Q-400) then raisi angepata hata kichwa na mzuka wa kuongeza mbwembwe na misifa ya kufuta mikataba mingine ambayo inatunyonya.....

Sasa taifa mnasimama na hao wanyonyaji mnategemea raisi atajishauwa tena......kilichobakia ni kuwaunga mkono tu nyie pigeni kelele yeye anakaushaw

SONY Xperia Z5 Premium
 
Back
Top Bottom