Hivi kweli simu za HUAWEI bado zinatumia google playstore?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,123
Kwa sababu kama mnavyojua jinsi serikali ya Marekani ilivyoweka sheria zake katika makampuni ya china , napenda uliza swali tajwa hapo juu.
 
Kuhusu HUAWEI naamini bila ya shaka siku akiapishwa tu Biden mambo yatabadilika.
 
Kuna nyengine zinatoka na playstore sababu wanatumia motherboard za zamani ambazo walizinunua kabla ya Tamko.

Sema ni chache.
Mkuu nasikia kkoo wanaweza kukuwekea goggle play store ktk hizi simu ni kweli?

Na km ikiwa hivyo kuna hasara ? Au effects zoxote ktk simu?
 
na inabakia bila kunisumbua mbeleni!?

nielekeze location nitakuja
 
Back
Top Bottom