Ipo, labda Biden apite hlf afute huu ujinga wa tramfuKwani bado kuna shida Huawei na Google?
Ila we jamaa wewe me nilijua robort hahahaaa
Mkuu kwan biden tayar kashatangazwa kashinda!??Huawei wamefurahi sana biden kupita, sasa wanaenda kuteka soko la simu na kujiimarisha zaidi kwenye technologia
Mkuu nasikia kkoo wanaweza kukuwekea goggle play store ktk hizi simu ni kweli?Kuna nyengine zinatoka na playstore sababu wanatumia motherboard za zamani ambazo walizinunua kabla ya Tamko.
Sema ni chache.
Mimi ni fundi wa software pale kkoo, leo jumapili hatufungui ofisi, hiyo kazi nafanyaMkuu nasikia kkoo wanaweza kukuwekea goggle play store ktk hizi simu ni kweli?
Na km ikiwa hivyo kuna hasara ? Au effects zoxote ktk simu?
how much?Mimi ni fundi wa software pale kkoo, leo jumapili hatufungui ofisi, hiyo kazi nafanya
yesMkuu kwan biden tayar kashatangazwa kashinda!??
how much?
Kuanzia elf 20 kuendelea kulingana na UI Versionhow much?
Haitasumbuana inabakia bila kunisumbua mbeleni!?
nielekeze location nitakuja
hii kitu mpaka uroot simu au kavu kavu tuuMimi ni fundi wa software pale kkoo, leo jumapili hatufungui ofisi, hiyo kazi nafanya
Unaweza kuweka hata wewe mwenyewe sema usitegemee experience kuwa smooth, na wanaweza pia kuiblock kwa baadaeMkuu nasikia kkoo wanaweza kukuwekea goggle play store ktk hizi simu ni kweli?
Na km ikiwa hivyo kuna hasara ? Au effects zoxote ktk simu?