Hivi kweli sifa za Lowassa wa mwaka 2005 bado anazo huyu wa 2015?

mge

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
558
179
Pamoja na kwamba watanzania wanataka mabadiliko lakini kwa sasa mi naona Lowasa wa 2015 hana sifa ya kuwa Rais ukimwacha Dr Slaa ni bora hata angesimama kati ya halima mdee, John Mnyika, tundu lisu,Msigwa na wengine waliokipigania lakini sio Lowasa.
 
Wamekuelewa hao
 
Kama kigezo chako ni kukipigania CHADEMA basi Lowassa anamzidi Magufuli.
 
Pamoja na kwamba watanzania wanataka mabadiliko lakini kwa sasa mi naona Lowasa wa 2015 hana sifa ya kuwa Rais ukimwacha Dr Slaa ni bora hata angesimama kati ya halima mdee, John Mnyika, tundu lisu,Msigwa na wengine waliokipigania lakini sio Lowasa.
kwani naenda kubeba zege huko ikulu?
 
Back
Top Bottom