Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.

DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.

Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!

Mungu ibariki Tanzania!
Huna hoja ya msingi.
 
Jamani tumekuwa vigeugeu,tulikuwa tunalia kuwa vijana hawapati nafasi leo tumepewa nafasi tena ya heshima kama hii bado tunapondana,ulitaka akae nani ndo huone kama Rais anataka kuleta maendeleo.Mkuu usihukumu kitabu kwa jalada la nje!
 
Tatizo lako hujui ninaposimamia katika mambo haya.

Na kama unanielewa, basi kwa maksudi unajifanya huelewi ili mradi tu upiganie msimamo wako uliokuja kugundua baadae kwamba ulikuwa ni msimamo wa hovyo na kuanza kuukana mwenyewe.

Hili linakusumbua sana hadi sasa, na ndiyo maana ya kutapatapa kwingi huku unakokufanya hapa.
Wakati utaongea.
 
Kwa tuliyoyasikia huko Kisarawe, kama ni ya kweli basi alipobebwa, alibebeka na anastahili kama zile tetesi za kumhusisha na mtuhumiwa zitakuwa nullified and vo

Kwa tuliyoyasikia huko Kisarawe, kama ni ya kweli basi alipobebwa, alibebeka na anastahili kama zile tetesi za kumhusisha na mtuhumiwa zitakuwa nullified and void
Si kweli,madame alijitahidi kwa nafasi yake na inawezekana anayevaa viatu vyake visimtoshe,kawilaya kagumu kale
 
JF imepoteza umahiri sababu ya watu kama nyie. In fact Waziri wa nchi ofisi ya Rais utawala bora ni ndugu yangu, same as kuna DC wawili wamepata mmoja ni classmate.

Naongea kwa michango wa kiujumla sio wa kibinafsi, laiti tungefahamiana usingejaribu hata kuandika ulichoandika.

Otherwise karibu whisky.
Kufahamiana kuhusiana vip ndugu??
Punguza kujihisi dhaifu binadamu wote ni sawa.
 
Unless wewe ni mtu usiyedadisi, usiyejali wala kujua athari za kuwa na viongozi wabovu. Moja ni kwamba wanaweza kuacha nchi ijiendeshe yenyewe (autopilot) kwa sababu hawajui kinachoendelea lakini pia wanaweza kutupeleka shimoni bila kujua kwa kutaka kuonyesha vitu vipya ambavyo havitafanikiwa kwa uchumi wetu.

Siyo wivu ila tahadhari ni muhimu!
Kwa hivo mlitaka watu wa aina gani?
 
Ni kweli lakini unaangalia uadilifu wa vijana wenyewe walioteuliwa unabaki mdomo wazi!
 
Si kweli,madame alijitahidi kwa nafasi yake na inawezekana anayevaa viatu vyake visimtoshe,kawilaya kagumu kale
Nadhani nimeeleweka ni vibaya; binti Mwegelo alipopewa nafasi, kimsingi ilikuwa ni mbeleko, hakuwa wa upande huo. Mimi siko Kisarawe kujua haswa alichokifanya kwa uhalisia LAKINI kwa tunayoyasikia na zile movements za waungwana kwenda kutembelea vivutio kule, jinsi suala la zero zilivyotawanywa, ni wazi BINTI kapiga kazi na anastahili kuwepo alipo.

Imani inaanza kwa kusikia, nadhani ni huku huku JF, walisema pengine alijihusisha na bwana yule, sasa kama ikawa kweli, juhudi zake zitafifishwa na ubinaadamu wake huo.

Na mwisho, amefanya vizuri Kisarawe, ama angeendelea pale mpaka hapo ambapo tungeona amefikia bar, kisha tumpeleke sehemu nyingine remote ambapo atatupigia kazi mujarabu kama hiyo, sio mbaya akipewa special incentives kwaajili hiyo; kumleta Dar ni kumharibu, anao ujinga ujinga ambao hapa utakuwa amplified na kumpotezea umakini, lakini ukweli kwamba miamba yote iko hapa, itamuwia ugumu kutekeleza majukumu yake kwakuwa yeye si MWANASIASA.
 
Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.

DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.

Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!

Mungu ibariki Tanzania!
Dira ya maendeleo iko na DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR siyo DC. DC majukumu yake ni kuhamasisha utendaji kazi, kuratibu shughuli za kiserikali kama mapokezi ya viongizi, kuzuia migogoro ya kivikundi. Ni majukumu ambayo yanaweza kuwa embedded kwa DED.

DC ni nafasi iliyorithiwa kutoka mfumo wa kikoloni wa indirect rule. Katiba mya ya wananchi rasimu ya Warioba ilipendekeza nafasi kama hii kufutwa. Viongozi wa watu wanapaswa kutokana na watu wenyewe kama walivyo kwenye nchi jirani ya Kenya.

Kwangu mimi na watu makini nafasi hii imekuwa ikitumika kama shukrani kwa baadhi ya watu ambao wamemsaidia Mteuzi au Chama Tawala.

Ningeona vizuri tupaze sauti KUFUTA nafasi za ma DC kuliko kuanza kuangalia nani kapewa u- DC.
 
Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.

DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.

Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!

Mungu ibariki Tanzania!

Tulivyokua tunawaambia awamu hii hatuna raisi tunaishi kwa matumaini mlikua hamtuelewi? Sie wengine tumeshachoka Na hii awamu tayar
 
Back
Top Bottom