Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,152
- 2,500
Waliokuwa wanadhani amepassaway wajiandae na mikwala ya Huyu mwamba.Dah nimemtazama mtu mwenyewe alivyo na matendo yake na hilo jibu alilotoa nimejikuta nacheka aisee.

Waliokuwa wanadhani amepassaway wajiandae na mikwala ya Huyu mwamba.
Kuna ya mama Rwakatale jamani.
Watanzania sisi jamani heri kukosa hela ya kula lakini si bundle
Njoo nikupe weweKuna ya mama Rwakatale jamani.
Watanzania sisi jamani heri kukosa hela ya kula lakini si bundle
Njoo nikupe wewe