hivi kweli nafasi za uhakimu zimetoka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kweli nafasi za uhakimu zimetoka?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by neyl, Mar 6, 2012.

 1. neyl

  neyl Senior Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mambo? jaman hivi kweli nafasi za uhakimu zimetoka? nmeskia kwa daladala watu wanaongea ila nimetafuta kwenye magazet sijaona, je ni kwel zimetoka na gazeti gan labla limetoa?
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kwanini hukuwauliza?
   
 3. neyl

  neyl Senior Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwasababu wewe upo wa kukuuliza
   
 4. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Here we go..bado.
   
 5. L

  Lsk Senior Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hazijatoka mdogowangu,na hazitatoka soon,maybe kwenye mwezi wa tano huko. Iamini habari hii. Mimi nimeifuatilia jikoni kwa Mhusika moja kwa moja,nilikuwa huko jana
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Hzo kazi za kwenda kurogwa bado tu nyie mnazishobokea?
   
 7. neyl

  neyl Senior Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  usinambie majaji na mahakimu wote wa tanzania ni migomba orginal walisharogwa siku nyingi kumbe, dah ngoja nikasome ushonaji labla sitarogwa, huku haka kaLLB kangu kumbe kataniua
   
Loading...