Hivi kweli mnyama Dragon anayetema moto alikuwepo duniani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Dragon ni mnyama anayeaminika kuishi duniani huku sifa yake kuu ikiwa kutema Moto.

Naomba kujua wapi nitapata historia yake. Je alikuwa anakula nini huyu reptilia?

71lxw+NPPuL._SL1104_.jpg

Naombeni maelezo ya huyu kiumbe
 
Umeeleza vyema,Sasa mnyama mwenye nyama ateme moto!Si kiini macho hicho ndugu yangu au unanipima uelewa?Chuma kitoe maziwa ya mgando ndo sawa na hii!🐏🐏🐏
Wachina wanna nembo ya huyo mnyama ni kielelezo chao kiutamaduni mfano mwaka mpya wa china huwa ni mwaezi mwezi wa pili tr 5. Nchi zima hufurahi na kucheza hapo ndipo huvaa vinyago vinavyo ashiria kuwa mnyama huyo alikuwepo japo mm binafsi siamini Sana jambo hilo.
 
Dragon ni mnyama anayeaminika kuishi duniani huku sifa yake kuu ikiwa kutema Moto.

Naomba kujua wapi nitapata historia yake. Je alikuwa anakula nini huyu reptilia?
View attachment 1735891

Naombeni maelezo ya huyu kiumbe
Hadithi tu, kama za alibaba, oliver twist, father Xmas, n.k. zingenezo, yaonekana ulivyo kuwa mtoto ulipenda mastori kama hayo sana, nisidanganye, kama mimi...hahaha
 
Sa
Wachina wanna nembo ya huyo mnyama ni kielelezo chao kiutamaduni mfano mwaka mpya wa china huwa ni mwaezi mwezi wa pili tr 5. Nchi zima hufurahi na kucheza hapo ndipo huvaa vinyago vinavyo ashiria kuwa mnyama huyo alikuwepo japo mm binafsi siamini Sana jambo hilo.
Sawa mkuu labda huyo mnyama kwao aliashiria maana flani kama vile umekutana na moto,labda utawala wa wakati huo ukiitwa kujieleza jambo flani maneno utayokutana nayo kama moto.Ni mawazo yangu tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom