bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Kwa kasi hii ya kampeni na kukubalika kwa Dr. Magufuli na Mgombea mwenza Bi Samia, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo. Magufuli kitakachomsaidia pia kuingia Ikulu ni kwamba anamtanguliza Mungu.
Tuzidi kumwombea kama anavyoomba kwenye kampeni zake ili siku hiyo ifike akiwa na afya njema. Na wale wanaomsindikiza katika kugombea urais nao Mungu awajalie afya njema ili washiriki katika kusherehekea ushindi wa Dr. Magufuli. Kila la kheri TINGATINGA TUNAKUSUBIRI Ikulu ya Magogoni.
Siku zimebaki chache sana Mzee ukaapishwe.