Hivi kweli kuna uwezekano wa Dr. Magufuli kukosa urais?

bmbalamwezi

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
788
195
Kwa kasi hii ya kampeni na kukubalika kwa Dr. Magufuli na Mgombea mwenza Bi Samia, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo. Magufuli kitakachomsaidia pia kuingia Ikulu ni kwamba anamtanguliza Mungu.

Tuzidi kumwombea kama anavyoomba kwenye kampeni zake ili siku hiyo ifike akiwa na afya njema. Na wale wanaomsindikiza katika kugombea urais nao Mungu awajalie afya njema ili washiriki katika kusherehekea ushindi wa Dr. Magufuli. Kila la kheri TINGATINGA TUNAKUSUBIRI Ikulu ya Magogoni.

Siku zimebaki chache sana Mzee ukaapishwe.
 
Ccm haiwezi kuupata uraisi this time pamoja na kikwete kuchaguliwa kwa kura mil 5
Ndugu ccm hahitaji urais wala haigombei urais ila anayetaka kutuongoza ni Magufuli na ndiye atakuwa rais wako kama alivyojinadi akiwa Katavi kuwa atakuwa rais wa wote, wanaccm , wana ukawa na wengineo hata wasiokuwa na vyama. Viva Magufuli.
 
Kwa kasi hii ya kampeni na kukubalika kwa Dr. Magufuli na Mgombea mwenza Bi Samia, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo. Magufuli kitakachomsaidia pia kuingia Ikulu ni kwamba anamtanguliza Mungu.

Tuzidi kumwombea kama anavyoomba kwenye kampeni zake ili siku hiyo ifike akiwa na afya njema. Na wale wanaomsindikiza katika kugombea urais nao Mungu awajalie afya njema ili washiriki katika kusherehekea ushindi wa Dr. Magufuli. Kila la kheri TINGATINGA TUNAKUSUBIRI Ikulu ya Magogoni.

Siku zimebaki chache sana Mzee ukaapishwe.

kwani mahufuli ni nan katka nchi hii au ni malaika???mlizoea mwaka Huu mtalia na kusaza meno kenge nyie
Lowassa ndio raise wako
 
Kwanza usimkimbie mwalimu wako anayekufundisha kusoma na kuandika. Haya unayoandika hayaeleweki hebu soma ulichokiandika. Kama ni jazba uache, Ikulu watu hawaingii kwa jazba. Rais wako ni Magufuli.
 
Kalaga baho. Wembe ni ule ule ushindi, Lowasa ni mtu wa kukosa tu. Akatumie vema mafao yake badala ya kutapatapa. Kimsingi huyu ni mstaafu kwanini wenye nguvu ya kufanya kazi? Tamaa mbaya jamani.
Hivi hawa jamma wanaomshabikia Mamvi hawaelewi kuwa ni mstaafu tena aliyelazimishwa kustaafu. Au aliyestaafishwa kwa manufaa ya umma. Huyo ndo mnataka aende Ikulu. Kweli mmechanganyikiwa.
 
Kalaga baho. Wembe ni ule ule ushindi, Lowasa ni mtu wa kukosa tu. Akatumie vema mafao yake badala ya kutapatapa. Kimsingi huyu ni mstaafu kwanini wenye nguvu ya kufanya kazi? Tamaa mbaya jamani.

Ccm mnataka mkae madarakani mpaka kiama yesu atakaporudi,alafu leo hii eti wapinzani wanauroho wamadaraka!.mimi nichague ccm nimelogwa? nyambafu!
 
Wewe samakipori mbona unakosa hekima. Ccm wnautaratibu mzuri wanapokezana vijiti sio kama akina Mbowe ambao wanataka waondolewe na winchi kwenye uenyekiti. hapa hatuangalii chana tunaangalia kiongozi anayefaa. Kwa zamu hii kwa vigezo vyote hata wewe unajua kuwa Magufuli anakidhi vigezo. No doubt about this. Mpe kura yako ili usiumie pindi atakapotangazwa kuwa Rais wako.
 
Back
Top Bottom