Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

Ni kweli mashine kubwa. Angekuwa mashine ndogo vikao vya chama vingemzuia kuuza chama. One man show ya kuuza chama inaweza kufanywa na mashine kubwa tu...

Mbona ccm imebinafsishwa kwa baba Riz...?? Bado hamjastuka hahahaaa kweli bongo lala..
 
BBC wapo wanatudhihaki huko kwamba baada ya miaka 54 ya uhuru nchi badala ya kuprogress sasa inaregress. Sasa tunazima officially mitambo ya kuzalisha umeme. Kisa!? Maji yameisha bwawani.

Yaani katika nchi ambapo mvua inanyesha kwa miezi 7 (mvua kubwa tu kiasi cha kuvunja madaraja na kusomba reli zetu) ni ujuha kukiri kwamba tumezima umeme kwa "uhaba wa mvua"
ujuha sana. wakisema wajenge stiegler's gorge muhongo anasema water budget blah blah. utafikiri sisi ni wa kwanza kutumia hydropower. kwenye nchi za baridi kipindi cha baridi hujaza maji kwenye mabwawa na kiangazi huzalisha umeme kwa wingi. sasa toka makete hadi rufiji kuna mabwawa matatu halafu utegemee uwe na maji ya kutosha wakati yote yanaenda baharini. FA0 walitafiti na kusema kungeweza kuwa na mabwawa 21. wanafanya kupungua kwa maji kama vile ni janga lisiloshindika.
 
Hapa kume wekwa hoja au aina ya makundi yaani matano yatakayo ipigia ccm. sasa tujikite kwenye hoja tuachane na blah blah za kwenye kahawa.
 
Wanabodi, zikiwa zimabaki siku 14 tufanye uchaguzi wetu, naomba kuuliza, hivi kweli kuna Mtanzania, mwenye akili zake timamu, anayefahamu maana halisi ya maendeleo, tangu tulipopata uhuru, tulikuwa na rasilimali gani, tungepaswa kuwa wapi, na kulinganisha na hapa tulipo sasa, halafu ukaelezwa sababu ya sisi Tanzania kuwa hapa tulipo, ni CCM, then hivi kuna Mtanzania kweli, mwenye akili zake timamu, bado ataichagua CCM?!.


Mkuu Pasco,

kwasababu hiki ni kipindi cha kampeni kauli hii (bold) naielewa sana lakini siikubali na sijawahi kuikubali.

Watanzania lazima tufahamu nchi hii itakwenda popote tunapotaka sisi iende, tatizo ni sisi watanzania. Ni bahati mbaya sana hakuna mwanasiasa aliye mkweli akatuambia tunahitaji kubadilika sisi wenyewe kama wananchi ndio mambo mengine yataenda sawa.

Tujiulize watendaji/watumishi ni chama gani?
ukitoa rushwa barabarani au hospitali unampa rushwa mtu wa chama gani?
Mvua zikinyesha wanaofungulia maji machafu ni wa chama gani?

Si ajabu kuona mtu hajaweza hata kusafisha mazingira yanayomzunguka nyumbani kwake akimshangaa kiongozi aliyezungukwa na uchafu (rushwa) ofisini kwake. Viongozi tunaowachagua ni taswira ya jamii yetu, wanafanya yale waliyozoea kuyafanya siku zote. Tukimpa udiwani mtu tunayemfahamu kabisa alikuwa kibaka tujue tunampa nafasi ya kukuza kipaji chake.

Tatizo la Tanzania ni watanzania wenyewe, hata katika michezo huwezi kupata ushindi kwa kuwa na benchi zuri la ufundi wakati wachezaji hauna.

Kuna maisha baada ya oktoba 25, badilika, badilisha maisha yako na familia yako.

Asante.
 
Acha hizo ina maana chadema inaendeshwa na mbowe tu! Chadema ni taasisi siyo familia,maamuzi yanatokana na vikao,kauli yako ina maanisha kwamba bila mbowe chadema haita perform! Rekebisha kauli yako

Hujanielewa ,nina maanisha haongeki/hanunuliki.Huwaoni wote walionunuliwa na CCM kutoka upinzani?
 
Hukuiona ile picha ya vijana wanafagia barabara na kupiga deki ili Lowassa apite kule Tarime? Mbona unaanza kujibaraguza. Ukombozi hautaletwa na mabwanyenye.

Unaelewa maana ya fasihi? Wanasafisha njia apite.
 
Siku hizi nakuelewa saana kaka Pasco na kiukweli weewe ni great seer!

Ulimkataa Dr. Slaa kwa hoja na sikukuelewa ila sasa nakuelewa vizuri saaana.

Be blessed abundantly
 
Last edited by a moderator:
Wakati Mwingine Inabidi Usome Mabandiko Ya Pasco Kisha Kaa Chini na UtafakariPasco Amekuwa kenge katika Kundi la Mamba Anayetaka Kujibadilisha ili Naye Aonekane kama Mamba.Dizaini Ya Uandishi wa Pasco nikutaka Kusifia,kupotosha na kuwachagulia wananchi Rais.Licha Ya Mapungufu Ya Ccm Lakini Kuna Mengi Yamefanywa na Kamwe Hilo Huwezi Kulipinga kwa Uandishi Wa kishabiki Kama Ulivyoandika kwenye bandiko hili.CCM IPO, ITAKUWEPO NA ITAENDELEA KUWEPO. ITACHAGULIWA NA WALE WEnyE AKILI SAHIHI NA WENYE UELEWA MKUBWA KATIKA NCHI HII, WALE WENYE AKILI NDOGO ZA KUKURUPUKA, AKILI ZA KUSHIKIWA ZILIZOJAZWA MIHEMKO NA USHABIKI Wa Kutokujua Nini wanachotaka ndio wataipinga CCM. Time will tell
 
Ni mpuuzi anayeweza kuwapa kura ccm. mtu na akili yake hawezi kufanya maamuzi kama hayo. isipokuwa wapo watu wanaojielewa kwa sababu wao ni wananufaika na mfumo huu wa ccm ndio utawakuta wanatoka povu kuwadanganya watu waichague ccm.
 
Wakati Mwingine Inabidi Usome Mabandiko Ya Pasco Kisha Kaa Chini na UtafakariPasco Amekuwa kenge katika Kundi la Mamba Anayetaka Kujibadilisha ili Naye Aonekane kama Mamba.Dizaini Ya Uandishi wa Pasco nikutaka Kusifia,kupotosha na kuwachagulia wananchi Rais.Licha Ya Mapungufu Ya Ccm Lakini Kuna Mengi Yamefanywa na Kamwe Hilo Huwezi Kulipinga kwa Uandishi Wa kishabiki Kama Ulivyoandika kwenye bandiko hili.CCM IPO, ITAKUWEPO NA ITAENDELEA KUWEPO. ITACHAGULIWA NA WALE WEnyE AKILI SAHIHI NA WENYE UELEWA MKUBWA KATIKA NCHI HII, WALE WENYE AKILI NDOGO ZA KUKURUPUKA, AKILI ZA KUSHIKIWA ZILIZOJAZWA MIHEMKO NA USHABIKI Wa Kutokujua Nini wanachotaka ndio wataipinga CCM. Time will tell

nina mashaka na uelewa wako. wewe ni upo ccm kwa sababu ni mnufaika na mfumo uliopo .Lakini mwananchi wa kawaida ambaye amezomesha watoto sita hadi chuo kikuu halafu wote hawana kazi wapo tu nyumbani halafu wanahimizwa wajiajiri wakati hao wanao himiza hivyo watoto wao wanaajiriwa serikalini hawezi kukuelewa ulichoandika hapo hata ukimpigia gitaa.
 
Pasco, Mtanzania Atakae Ichagua Ccm Iwe Kwa Bao La Mkono! Au Bao La Kalio! Inabidi Apimwe Akili!
 
Last edited by a moderator:
Me nkajiuliza na haya masanii ya bongo kweli ni shida yana panda jukwaani yanahamasisha watu ukweli wana influence kubwa ila so kwa Hii ccm ya sasaa imeoza hata waisafishe a omo tani 20 mmmmfyuuuuu!mavi tuuuu tena ya kipindupindu
 
L Lazima
O October
W Wampe
A Atuongoze
S Sifa
A Anazo ✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿

Ukawa na team LOWASA PIIGA KELELEE🔊🔊🔊🔊
 
L Lazima
O October
W Wampe
A Atuongoze
S Sifa
A Anazo ✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿

Ukawa na team LOWASA PIIGA KELELEE🔊🔊🔊🔊



Mkuu, chakii, Habari Mkuu, Nimeipenda Sana Hii Tafsiri, Ulicho Sahau, Kipaumbele Cha Kwanza Elimu!, Cha Pili Elimu! ,cha Tatu Elimu!, Huwezi Kuleta Viwanda Bila Elimu, Watanzania Watakuwa Madeiwaka!
 
Last edited by a moderator:
mungu tusaidie tuvuke kwa amani ili baada tarehe 25 october tudiscuss issue positive kwani ni wewe tu unajua rais. ila mimi nitampigia magufuli
 
Pasco

Unatatzo la akili za kushikiwa, naanza kupata wasiwas na uwezo wako wa kufukiri, nahic unashida au umekuwa na tatzo la kuangalia sana pornographic, na kupoteza uwezo wa kumbukumbu

Hivi unajua kuwa tunachagua rais wa nchi?? Unajua kuwa hatufanyi majaribiao kwenye urais??

Ccm haina mpinzani wa dhati, huenda kweli tumeichoka ila nan mbadala?? Edo?? Unapaswa kupimwa akili kama utamchagua edo, na sabab zipo nyingi ila moja kubwa ni kuwa hao waliotuaminisha kwamba edo fisadi kwa miaka 7, wametumia siku 1 kutuaminisha kuwa edo c fisadi

Halafu na ww ukiwa na akili timama unatuambia tumchague.. ndo maana nikasema huenda huwa unaangalia sana zile pc kiasi kwamba uwezo wako wa kufikili umepungua


Mwisho, ni ushaur kwa pasco na wengine wenye mawazo kama yako rais wa nchi hii hapatikani kama bingo au bahati nasibu, anapatikana kwa mipango na utaratibu,

Hvi huo mchakato wa kumpata mgombea urais wa ukawa ulifuatwa??

Kapimwe akili brother,

Hapa kazi tu..

Mkuu povu zanini? Tunajua wote ambao maisha yenu yamefungamana na CCM uchaguzi wa Mwaka huu umewapa maruweruwe sana mlizoea kupigiwa Ving'ora sasa mkiona wenye NCHI wameamua kukataa ujinga ndo povu zinamwagika....Ikiwa Kero ya UMEME imewashinda Tangu tupate UHURU...tuna MISITU hadi leo watoto hawana madawati nabado mnapita mitaani kuwadanganya Bongolala wawachague tena km siokuwadharau watanganyika nini....Kwa tamaa za FISI mlizonazo km mliweza kupakia TWIGA kwenye NDEGE mkichaguliwa tena Mtaung'oa MLIMA KILIMANJARO mukawauzie huko..
.maana nyie niwataalam wakufanya miujiza sasa wenye NCHI tumekataa mlivyokwiba kwa miaka 5O vinatosha mwende kwenye Jumba la Makumbusho kwa miaka mi5
 
nina mashaka na uelewa wako. wewe ni upo ccm kwa sababu ni mnufaika na mfumo uliopo .Lakini mwananchi wa kawaida ambaye amezomesha watoto sita hadi chuo kikuu halafu wote hawana kazi wapo tu nyumbani halafu wanahimizwa wajiajiri wakati hao wanao himiza hivyo watoto wao wanaajiriwa serikalini hawezi kukuelewa ulichoandika hapo hata ukimpigia gitaa.
Huwezi kuelewa kwa kuwa umekurupuka kujibu.

siku zote unapokuwa unapigania haki Jaribu kuwa mkweli na Mjuvi wa Mambo, wataka unambie hao wanaofanya kazi serikalini ni Watoto wa hao unaowasema? Wakati mwingine tusiuhalalishe Ujinga ututawale katika Maisha Yetu... Kuamini kuwa kuchagua chama tofauti ndio Watu watapata nafasi au kuajiliwa serikalini ni sawa na kuoa mke huku ukijijua huna kizazi. Mabadiliko Huanzia kwako, bila kuhangaika Hata Lowassa Akishinda hawezi kukusaidia. Jitume kwanza Ndio Uje Hapa Ulaumu. Time will tell
 
Back
Top Bottom