Hivi kweli kampuni kama hii inawasomi??/experience 10yrs, age limit 35 max.Is it Possible??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kweli kampuni kama hii inawasomi??/experience 10yrs, age limit 35 max.Is it Possible???

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Jaxx, Jul 11, 2011.

 1. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imenichukuwa muda sana kutafakari matangazo ya kazi hapa Tanzania na nikafikia hitimisho kwa swali ama dukuduku kama kweli maafisa waajili wa makampuni yetu wana elimu ya kutosha kutimiza wajibu wao au wapo wapo tu???, Bahati nzuri sana leo nimepata mfano halisi kabisa. Wengi sana tunaamini kuwa thread za Totolucky zina msaada mkubwa sana na wala hafai kulaumiwa maana yeye ana copy na ku paste kisha anaanika Jamvini
  Hebu fikiria thread hii ya leo JULY 11,2011 nafasi ya Senior Accountants (2 positions)
  Inataka experience ya 10 years na age Limit ni 35 yrs maximum, linganisha na safari ya Mtanzania katika Elimu kama ifuatavyo
  School age--------------------------7 years
  Standard I-VII----------------------7 years
  Form I-IV---------------------------4 Years
  Form V-VI--------------------------2 years
  University/College-----------------3 years
  Employment Search---------------3 years
  Experience REQUIRED-------------10 years
  TOTAL------------------------------36 years
  AGE LIMIT ==============35 Years
  Dificity-------------------------------1 year ( huu mwaka mmoja ataupunguza vp??)
  Kwa njia hii kweli huyu mtu alitafakari kabla ya kutangaza kazi ama alikurupuka tu kutimiza njaa zake???
  Source Job - SENIOR ACCOUNTANT (Only Males) - Ahmedabad, Tanzania - Sycamore (I) Consultancy Services - 8-to-10 years of experience - Jobs India
  Naomba mawazo yenu
   
 2. MamaEE

  MamaEE Senior Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umeongea kwa kweli... mimi pia nashangazwa na some of the requirements maana sioni how they are relevant to the job described. Kazi kwelikweli... sasa upate interview ndio utaona vioja zaidi. Watu wanauliza kama umeolewa, una watoto wangapi? Ni kabila gani... how is that relevant kama sio kutaka kuanzisha stereotyping? Hivi mimi nikiwa mhaya au mnyakyusa ina maana utendaji wangu unabadilika? Je nikiwa mixed?
   
 3. kibakiking

  kibakiking Senior Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka hiyo ni noma kaka respect ila hawa jamaaa mara nyingi wanakuwa na watu wao ili icionekane hawakutangaza ajira na pia sheria za ajila ni miaka 45 sasa wao wanataka 35 wapuuzi
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hapo JKT bahati nzuri imefutwa,....not to mention kulikuwa na mwaka mzima wa kusubiri nyumbani baada ya kumaliza JKT kabla hujajoin UDSM!!
  Waziri wako wa Kazi alitakiwa aingilie kati sababu hii ni some kind of discrimination (age Discrimination) na huyo mwajiri atakiuka masharti ya EEO/Equal Opportunity Employer
  Unless waspecify kuwa hiyo ajira ama position zinafall under "Youth Program" kama wafanyavyo World Bank
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Halafu walivyo wehu utasikia "naomba uzoefu wako wa nyuma" Nyambafuuuuu!!!
   
 6. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Jamani watanzania wakati mwingine tusiwe wenye kulaumu tu.
  Kwani Experience/Uzoefu maana yake nini??
  Je uzoefu unaupata pale tu unapoanza kazi baada ya kumaliza shule??

  Siku hizi watu wanasoma wakiwa kazini achaneni na dhana potofu kwamba wasomi lazima wapitie kwenye mfumo mlioutaja hapo juu.
  Kwa mfano hapa wanataka a Senior Accountant nafasi ambayo hata igekuwa kampuni yangu siwezi kuajiri mtu asiye na uzoefu hata kama una 1st class. Sasa kwa taarifa yenu kuna watu wa CPA zako at age lower than 35yrs.

  Ni bahati mbaya sana mfumo wetu wa elimu unatufundisha kufaulu mitihani na sio stadi za kazi. Labour market ya leo wapendwa inaangalia uwezo kwanza, vyeti ni makaratasi tu ambayo mtu yeyote anaweza kuwa nayo.
  Wanafunzi wangapi wakiwa likizo wako tayari kwenda kufanya kazi kwa mtu bila malipo???
  Volunteers wa kizungu/kijapani wanaokuja kufundisha kwenye baadhi ya skuli zetu mnadhani hawapendi hela???

  Watanzania ni wakati wa kubadilika na tujue ku-seize every opportunity comes our way!
  Nyerere ambaye alijua kutetea watanzania hayupo tena ni wakati wa kusimama kwa miguu yetu wenyewe usipofanya hivyo inakula kwako.
   
 7. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Acha hizo mkuu labda ww umesoma zile shule za St. Somethingi, lakini sisi tulio wengi kina senti kayumba hizo kwalification ni ndoto kuwa nazo katika hiyo age kama ww unazo shukuru mungu.
   
 8. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itaanza mwaka wa Fedhaa 2012/13
   
 9. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mawazo mazuri pia japo hayatekelezeki mkuu wangu,CPA cyo uzoefu ni taaluma pia na ukiangalia pale mchanganuo wa miaka haipo hivyo ongeza pale ili uje kama kweli kwa umri huo je utakuwa na uzoefu wa miaka 10?.
  Hiyo green najibu kama ifuatavyo, A candidate must have an experience of 9 years while 5 years in a Senior position from a reputable Organization
   
 10. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ............yah inawezekana mkuu. c unjua wenzetu huwa wanawahi shule? pia naamini wafanykazi wanao wataka sio watanzania coz cc huwa tunacchelewa sana kuaanza shule na hao walotoa hizo nafasi wanalijua hilo.
   
 11. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Na hapo mungu alikujalia hukuwahi kukumbana na mgomo wa chakula,mikopo,kumtukana Mh. etc kiasi kwamba ulikwenda a smooth way na baba yako/mlezi hakuwahi kukosa fee hata mwaka mmoja.
  Lakini nasikia kuna njia ya kuchakachua miaka.
  RE
   
Loading...