Hivi kweli JK haoni aibu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kweli JK haoni aibu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tononeka, Jan 21, 2011.

 1. t

  tononeka Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [FONT=&quot]Mazungumzo kati ya Pierre Nkurunziza na Mwai Kibaki [/FONT] Written by Femi Friday, 03 April 2009 00:05 Kuiba kura


  [​IMG]
  Raisi Mwai Kibaki wa Kenya na Nkurunziza Pierre wa Burundi
  Bujumbura , tarehe 03 April 2009 / Burundibwiza.com
  Raisi wa Burundi alifanya ziyara inchini Kenya kwa malengo ya kumuuliza mwenziye wa Kenya mbinu za kuiba kura katika uchaguzi. Sasa alipo muuliza tu, Mwai Kibaki alimwambiya kama icho ndicho kilikuleta ningekushauli urudi kwako Burundi haraka. ( Aliendeleya kumwambiya). Nilipo iba kura katika uchaguzi hapa kwetu Kenya, kulitokeya mambo ya ajabu hadi pale nilitamani kukimbiya. Palitokeya mauwaji ya halaiki ya watuna niliayidika sana. Ivi niko Raisi wa jina tu eshima hakuna. Namtazama Raila Odinga kwa kweli namsikiliziya wivu; ndugu yangu sikutakiyi kuwa katika iyo hali. Bora ujiandaye kuwa Pasta ama Mchungaji sababu nilipata habari kwamba uko mchezaji bora wa kwaya. Mpenzi wetu Nkurunziza alipigwa na mshangao nakumwambia ( na wewe ndugu yangu Kibaki !!) Basi nimekwisha. Manjonjo hayooooooooooooooo !!!!
   
Loading...