...Sioni tatizo; jamani sasa kila analofanya kikwete ni habari? hao nao wamejipanga msururu wote wa nini;It is boring to shake hands of score of people for absolute no good reason and they all expect you to give a smile si utalala na headache kila siku.....
hapo usikute kuna kifaa jk alikiona pembeni ndio maana alikuwa anakikodolea macho na kuwapa ishara wapambe wake wakiwinde ili akatindue amri ya 6. si mchezo jk...naona dada wa watu amemkodolea macho Jeikei lakini mwenzake wala hana taim naye, anatimiza tu Protokali ya kuwapa mkono watu...

kusalimiana na mtu huku macho umeyaelekeza mahali pengine?

Pichani: JK akisalimiana na Dkt Rachel Mhaville ambaye ni daktari bingwa wa meno ya watoto.

Picha: kwa hisani ya Mjengwa Blog.
Wakubwa hebu tuwe siriaz kidogo,tunakosoa vitu vidogo dogo sana.
Angekuwa anasalimiana nae na yupo peke yake hapo sawa ila hapo ni msururu wa watu.........na picha hii yaonesha kuwa imepigwa mwishoni mwa kusalimiana kwao na JK anamwangalia mtu anaefuata.
Maana na alieleta picha hii anataka kutuaminisha kuwa JK alimpa mkono bila hata kumwangalia.This is too much
kusalimiana na mtu huku macho umeyaelekeza mahali pengine?
View attachment 37547
Pichani: JK akisalimiana na Dkt Rachel Mhaville ambaye ni daktari bingwa wa meno ya watoto.
Picha: kwa hisani ya Mjengwa Blog.