Hivi kweli hili taifa la Marekani (USA) litakuja kupitia kiuchumi?

4by94

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
2,197
2,000
Kwani U.S.A anatawala nchi ngapi mfano Uingereza alivyotawala karibia nusu ya dunia ? Nitajie angalau mataifa 10 yaliyo chini ya amri ya U.S.A Kama ilvyokuwa kwa Muingereza, Ujerumani, Egypt,Roman Empire , Greece
siku hz watu wana mfumo mpya wa kukutawala ambayo huenda ni hatari na ni ngumu kujikwamua , mfumo wa akina Uingereza na Ufaransa ni old fashioned , Amka bro , ss hv watu wanachagua wanaenda wap na kufuata nn ? na kina umuhimu gan kwao ? Huo mfumo wa zaman ulikuwa unawacost sana maana wanatoa ela kufanya ujenz wa miundombinu ambayo wataiacha bila kuwa na faida nao ila ss hv unaomba mkopo wa kujenga mradi wa reli pia ela unawalipa wao wajenge hiyo reli kisha wanakuendesha kupitia deni lao ( akil kwa mukichwa )
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
7,579
2,000
Kikeshi & ki-anga Mrusi amisha mzidi USA,kiuchumi ndio huko China anaenda kumpiku ni swala la muda atanguka jumla jumla.

Hiyo ya kuwa watu wa race zote kwenda hata ikitokea Tanzania Leo ndio super power kila mmoja atataka kuja, kama ilivyo Dar es Salaam.
US ni namba moja kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia.

Unataka kusema hata super power zilizopita zilikuwa na race zote?!
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
43,646
2,000
Asante kwa kutema facts vijana wanadhani kuwa U.S.A ndio taifa la kwanza kuwa taifa lenye nguvu duniani kumbe yamepita mengi tu na yatakuja mengi tu .uyo U.S.A mwenyewe kapigwa gap na mchina kwenye Mambo kadhaa yamebaki Mambo machache mchina amovertake mmarekani especially kwenye uchumi na ushawishi
Uwe watumia akili

Mchina kampita Mmarekani watu tu

Wachina wanapenda kwenda ishi au pewa Uraia Marekani na si kinyume chake
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
7,579
2,000
Mbona Uingeleza aliweza?
Alijaribu akashindwa ndo maana sasa hatawali, ndo maana nilisema kamwe dunia haiwezi kutawaliwa race moja. Wamarekani ni combination ya damu ya dunia nzima, Marekani kutawala dunia ni sawa na kwamba dunia inajitawala. Mfano leo ukitawaliwa na mchina ni kutawaliwa na race moja, damu moja. Angalia viongozi na maafisa wa Taasisi za Marekani afu linganisha na China, Russia, Japan, Saudia, ama nchi yoyote Ile.
 
Faka25

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
484
250

Kuna kitu hapa
 
Seth saint

JF-Expert Member
Oct 27, 2020
454
1,000
USA anaitawala Dunia kupitia hela yake,kitu ambacho Nchi nyingi zinaanza kukataa mfumo huo.
Asee kama hii ni kweli basi ujue ni hatari kwa US.

Sema ujue nini!! utawala wa US hapa kwa planet sio currency yake pekee.Guess what!! US ana influence katika hii planet katika haya maeneo,technology(hapa jaribu kidogo tu uangalie katika info.tech usiangalie industrial tech.Kampuni kama Meta,IBM,ALPHABET,Paypal,Apple inc na kuendelea zote either ownership yake ni Wamarekani au zinamaskani na operation zake nyingi ni huko)

Angalia kwa mfano kwenye michezo pamoja na burudani(ukitoa football ambayo Uk,Spain,Germany,France na Italy wanautawala mkubwa, basi michezo mingine yote karibia US ana ushawishi mkubwa kupita hao wanaodhaniwa kuja kuchukua status yake.Mfano,Basketball,NBA unaona ushawishi wake,Rugby,Wrestling nenda kwenye Music industry najua ni rahisi sana kutaja wasanii kutoka US ila task hii ukipewa utaje wachina sidhani kama utaeleweka hapa).

Mwisho kabisa kwanini inakuwa ngumu ata China kumbwekea US,ni kwasababu uchumi au niseme ustarabu wa Mchina uko embedded na kile tunaita American culture.Just imagine,China anapiga hatua katika technology lakini hawezi kumarket product zake duniani bila kuzipa label au kudocument katika lugha ya Kiingreza(hii ina maana kwamba China bado sio independent katika aspect tunaita culture i.e refer to language that China use to market their products worlwide).Hii naweza kusema haina tofauti na mtoto ambaye bado yupo kwa baba yake kapatiwa chumba tu cha kuishi lakini kila kukicha anatunisha misuli kwa baba yake(Hii nikimanisha mtoto kumkosea baba yake heshima)
 
Fact
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
2,354
2,000
Alijaribu akashindwa ndo maana sasa hatawali, ndo maana nilisema kamwe dunia haiwezi kutawaliwa race moja. Wamarekani ni combination ya damu ya dunia nzima, Marekani kutawala dunia ni sawa na kwamba dunia inajitawala. Mfano leo ukitawaliwa na mchina ni kutawaliwa na race moja, damu moja. Angalia viongozi na maafisa wa Taasisi za Marekani afu linganisha na China, Russia, Japan, Saudia, ama nchi yoyote Ile.
Na Marekani itatawala kwa muda na yeye ataanguka kama walivyo anguka wengine lakini itachukua muda kidogo.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
13,502
2,000
Marekani itapitwa miaka labda 1,000 ijayo. Ili lipitwe kabla ya hapo inabidi lisambaratike lisiwe tena USA. Vinginevyo ni bora tu tukubali USA haitapitwa kwa vizazi 20 vijavyo
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
9,345
2,000
Uhalisia Mchina anachomzidi US ni idadi ya watu tu, kirasirimali, teknologia, kiutamaduni, nk kote huko mchina anakaa. Nadhani unajua jinsi utamaduni wa kimarekani ulivyoteka dunia.
Lakini still ni tishio kwake japo hajampiku lakini ni tishio kwake kiasi kwamba anatafta hadi njia za kumfunga speed governor
 
Nyamizi

Platinum Member
Feb 19, 2009
5,544
2,000
Alijaribu akashindwa ndo maana sasa hatawali, ndo maana nilisema kamwe dunia haiwezi kutawaliwa race moja. Wamarekani ni combination ya damu ya dunia nzima, Marekani kutawala dunia ni sawa na kwamba dunia inajitawala. Mfano leo ukitawaliwa na mchina ni kutawaliwa na race moja, damu moja. Angalia viongozi na maafisa wa Taasisi za Marekani afu linganisha na China, Russia, Japan, Saudia, ama nchi yoyote Ile.
Kuna kitu nimejifunza hapa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom