Hivi kweli hii inaukweli wowote?

mdesi

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
1,349
2,086
Baada ya kutoka katika shughuli zangu za kuitegemeza familia yangu, nafika tu home nikaona mama mmoja anaongea bungeni ya kwamba, wamepeka mswada bungeni wa kuunganisha mifuko ya pension.

Moja ya sababu zilipo motivate kuunganisha mifuko hii akataja kuwa ni kuondoa ushindani usiokuwa natija katika solo. Nimetafakari na kuionea huruma nchi yangu na watu wake kwa kuwa na wawakilishi wasikuwa na uelewa.
Hivi kiuchumi, ushindani si inaongeza ufanisi? Kwahiyo tunarudi kwenye monopoly economy, wafanyakazi mjiandae kupata Huduma mbovu kupindukia na hata kunyimwa mafao yenu na bado mtalazimika kujiunga.
Hii inchi tuwatu wenye upungufu wa akili kiasi hiki kweli???

Poleni sana watanzania tumeyataka wenyewe na tunaendelea kuwachekea!
 
Ni kweli tumlaumu wenyewe.Maana chuki ya watu wawili waliokuwa marafiki kuhasimiana
 
Back
Top Bottom