Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,439
12,294
This is not fair kwa kweli kuna mahala anakosea....
Screenshot_20200213-141018.png
Screenshot_20200213-141353.png
 
Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke

kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers

hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji

mwalimu aliye master game ambae kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
 
Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke

kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers

hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji

mwalimu aliye master game ambao kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
Naunga mkono hoja. Kuna nyimbo nyingi sana ndani na nje ya Tz ambazo zimebamba kiafrica hadi dunia, ambazo mtaani zinapigwa yani Hit song
ila ukiingia Youtube viewers 500k
kama Wimbo wa burna boy anybody una viewers milioni 21 kwa miezi7 umehit worldwide na hauchoshi viewers wakawaida sana kwa ukubwa wa hio ngoma.
sidhani kama viewers wana mata sana labda kwenye hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nan tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapozungumziaa viewers YouTube unatakiwa uangaliee idadii ya wasanii wanaokujaa juu sahiviii ...sahiv nyimbo zinatoka NYINGI na nzurii na wasanii ni wengi wazuriii ,,,enzi zile hiphop haifikishi viewers hats 500k lakn sahiv mpka 1.5m .Unajua kwann idadii ya waimbaji kubwaa cha Kwanzaa,na mashabiki sahiv mziki mzuri ..
Nakupa fact kwa diamond nyimbo yake ya mwisho aliyowashirikisha wale jamaa fulan ,haikuwahii kufikaa trending no 1 YouTube na viewer 1m imetafutaa sana ..

Kwahiyooo tatizo sahiv wako wakina Mario wakina kituga wengi wazur kwahiyooo kila msanii ni muda wa kutunga nyimbo nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke

kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers

hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji

mwalimu aliye master game ambao kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
Sawa ila aya zako ulivyopangilia hatar tupu.
Mama alienda
Sokoni kununua
Ndizi.
Haya bhana(kidding)
 
Naunga mkono hoja. Kuna nyimbo nyingi sana ndani na nje ya Tz ambazo zimebamba kiafrica hadi dunia, ambazo mtaani zinapigwa yani Hit song
ila ukiingia Youtube viewers 500k
kama Wimbo wa burna boy anybody una viewers milioni 21 kwa miezi7 umehit worldwide na hauchoshi viewers wakawaida sana kwa ukubwa wa hio ngoma.
sidhani kama viewers wana mata sana labda kwenye hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Viewers wanakupa hela
 
Back
Top Bottom