Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,316
This is not fair kwa kweli kuna mahala anakosea....
chapa kazi acha uvivuMaromboso kuna wimbo ana viewers 22m .....wakat papa mobimba tu hajawahi fikisha hizo....wcb kuna mchezo wanafanyaga
Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke
kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers
hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji
mwalimu aliye master game ambao kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
Naunga mkono hoja. Kuna nyimbo nyingi sana ndani na nje ya Tz ambazo zimebamba kiafrica hadi dunia, ambazo mtaani zinapigwa yani Hit songViewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke
kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers
hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji
mwalimu aliye master game ambao kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
Nan tena?Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke
kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers
hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji
mwalimu aliye master game ambao kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
AaaaaaaaLabda angekuja kutuambia ni vipi WCB wanafanya kupata viewers wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila aya zako ulivyopangilia hatar tupu.Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke
kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers
hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji
mwalimu aliye master game ambao kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
Viewers wanakupa helaNaunga mkono hoja. Kuna nyimbo nyingi sana ndani na nje ya Tz ambazo zimebamba kiafrica hadi dunia, ambazo mtaani zinapigwa yani Hit song
ila ukiingia Youtube viewers 500k
kama Wimbo wa burna boy anybody una viewers milioni 21 kwa miezi7 umehit worldwide na hauchoshi viewers wakawaida sana kwa ukubwa wa hio ngoma.
sidhani kama viewers wana mata sana labda kwenye hela
Sent using Jamii Forums mobile app
HIV kiss Daniel mbona alijitoa G-world wide na bado yupo juu,,,why TZ??
Sent using Jamii Forums mobile app