Hivi kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua Salon Magomeni Mapipa? au ndo yale yale

nimepata taarifa anataka aichukue manzese yote watu wa manzese jiandaeni any day kuhamishwa tu kisarawe
 
Du watu wachunguzi sana,umeniacha hoi na kicheko kwenye hiyo picha na swala la mkono wa kushoto! labda anatumia left hand bwana!
 
Hillary Clinton alikuja kutembelea bustani za mboga mboga Pwani pamoja na mitambo ya Symbion, miezi michache baadaye Bush anakuja kutembelea saloon ya nywele Magomeni! Lakini check hapo katikati wageni wa marekani waliomtembelea Rais, waziri mkuu, wachezaji mpira wa kikapu, wachungaji wausi, wafanya biashara wa Balozi Majaar... list ni ndefu.

Hata hivyo kama unataka msaada kwenye biashara yako wakati ni huu, pesa ni nje nje ubalozi wa Marekani. Wahi sasa!
 
Jana nimeshangaa sana nipo pale Magomeni Mapipa kuna hotel moja itaiwa Shibamu hotel, mara tunaona magari kama 20 yanaongozana.

Mara namuona balozi wa Marekani, pamoja na Bush na Mkewe wanashuka wanaingia kwenye Salon ya kike.

Wamekaa kama dakika 7 wakaondoka zao, kinachonishangaza ile Salon imechoka sana
 
Texas ni wawekezaji wakubwa kabisa duniani katika masuala ya mafuta na gesi... sisemi katika magendo ya urani na silaha. Je mmeshasahau kwamba mmeanza utafiti wa mafuta na imeshagundulika kwamba mna urani isiyo na kipimo...

Tumerudi kwenye yaleyale "shanga kwa pembe za ndovu ama kipande cha kaniki kwa vipande vya almasi na dhahabu"
Leo wanachukua madini wanatupa vyandarua na matangazo kibaaaao "...tangazo hili limeletwa kwa hisani ya watu wa Marekani... au tangazo hili ni kwa hisani ya jumuiya ya ulaya!!!"

Tumeshaliwa!
 
:ballchain: hii nchi imekaa kilokolelokole tu,

hajulikani nani mwanaume nani mwanamke
kama wanaume mmeshindwa mseme wanawake tuingie barabarani,
:smash:​
 

Hapa akiwa magogoni alivyo na dharau kampa mkono wa mashoto kwa ******


Rais wetu anaskitisha sana, yaani pasipotakiwa kucheka yeye anacheka, Shame! mwenzake youp seriuos yeye meno yote nje, yaani anaboa sana. tunaibiwa baba!!!! duh kama ndo hivi tutaibiwa sana.
 
Bush ameleta mchuzi na kipande cha nyama. Shida yake ni Ng'ombe. Anajua tuna ng'ombe wengi, lakini hatujui kutengeneza mchuzi.
 
Ndugu zangu Walker Bush alikuja kuweka mambo sawa juu ya Uranium yetu basi. [ Millenium Challenge Account haiji bure] na huyu mkweree asipojifunza na kujua kuwa Marekani hawana rafiki isipokuwa kulinda strategic interests zao, basi angojee mpaka hapo watakapomuingiza choo cha wanawake kama walivyomfanyia Mobutu na Mubarak!! Kikwete should be careful otherwise these Yankees might put him in a "RAT HOLE" Je mnajua kuwa kwenye board ya Barrick Gold ndani humo BUSH yumo?

Mkuu mbona hiyo kitu iko wazi tangu zamani. KUlala kwake siku tatu bongo kama rais wa amerika haikuwa bure. Na bado mengi yanakuja, ndiyo maana huwa nasema, ufisadi nchi hii ni kama mahala pake unapotengenezwa
 
Yani mimi nina hasira sana na hawa mambwa wa Ulaya na Marekani kiukweli kabisa i HATE THESE KILLERS MORE THAN DEATH....hivi kweli Bush na watu wote alioua anakuja hapa eti kuangalia Saloon?!!! huu ujinga kabisa halafu eti anaongozana na Rais hivi Rais wa Tz mbona ni cheap namna hii?!!! hivi mkapa anaweza kwenda Ulaya akaongozana na hata yule ****** Cameruni?!!!

hasira?

jenerali Waitara mwenyewe aliishia kugombana na j.k, sembuse wewe

ila Bush alipata alichokitaka
 
Back
Top Bottom