Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Hili ndio swali ambalo siku zote huwa najiuliza kama hawa wazungu kweli wanaweza kufanya jambo litakaloharisha masilahi yao na hata mahusiano baina yao kwa faida ya Tanzania na watu wake.
Kwa mfano,mimi kama mimi huwa najiuliza, ni nini kiliwafanya Barrick waridhie malipo kiduchu kama sio tu kulinda wenzao?
Halafu wengekuwa upande wetu kama baadhi ya watu wanavyoamini,yale mazungumzo kweli yangekuwa magumu mpaka yachukue muda wote ule wa miezi karibu mitatu kama sikosei?
Nina wasiwasi sana na hawa watu kuwa wameamua kula na vipofu na hata chochote watachokubaliana,ndani yake itakuwa ni kuwalinda tu wenzao Acacia na si vinginevyo.
Na je,ile kesi Acacia waliotufungulia katika Mahakama ya usuluhishi huko nje na ambayo hata aliekuwa waziri wa sheria wakati huo bwana Kabudi alikiri Bungeni kuwa ipo,mbona haitajwi popote?