Hivi kwanini ITV wamekata speech ya Mnyika?

Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote .

Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr.

Sijapenda
ITV na Radio One ndiyo wakongwe wa radio na Television Tanzania. Ila wameamua kutobadilika wamebaki kama walivyoanza, wao wanaringia ukongwe wao tu. Wamekuja operators wengine kwenye habari wamewapita mbali sana, wao wamekuwa chuo cha kuwalea vijana na kuwapelekea media houses nyingine. its pity!!
 
Mhalifu yoyote akiona polisi na pingu tumbo huanza kukata.
Ni Kama ukiwa umefanya kosa ashuleni halafu unamuona mwalimu mkuu anakuja parade na sio kawaida yake. Unahisi tu unakuja kuumbuliwa.
Au umetembea na mke wa mkurya halafu unamuona mwenye mke kila aendako ameshika panga.
 
Media na mitandao ya kibongo ni wazi inaishi kwa woga na huenda wanatishiwa.

Hivi sasa tumebaki na twitter tu na media za nje kutusemea lakini sio za humu ndani.
 
Usiwalaumu ITV ama kituo chochote cha habari TZ kutotangaza ama kurusha habari za CDM, its pure politics hapa ndipo tumefika kama taifa.

Kama wangerushwa nafikiri leo wangeambiwa wanafungiwa miezi 3, sasa kile ni kituo Private, unalipaje mishahara na uendeshaji mzima wa kampuni kama upo grounded.

Wameona isiwe taabu, habari za CDM mtazipata Twitter na Facebook.
 
Ukiona hivyo ujue alikuwa anaongea utopolo mtupu,wakaona isiwe tabu
Hajaongea ukolo kama unavyowaza bali ameongelea CCM kutoa Rushwa ya cheo kwa jaji ambaye kashindwa kutafasiri PGO mahakamani, kuzawadiana vyeo pasipo kukidhi vigezo ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, jaji kiongozi anaenda kulipwa mshahara mkubwa utokanao na kodi za wananchi kwa kazi ya kuwaonea kuwabambikia kesi chadema ni Aibu kubwa na kinyume na haki za binadamu
 
Chadema umegeuka kuwa daraja la kupata vyeo, Polisiccm mahakimu majaji wakitaka kupanda vyeo huwaonea chadema kwa namna zote ili kuwafurahisha wagawa vyeo ni aina fulani ya Rushwa mbaya kupata kutokea Tanzania kwa sasa
 
Hata ITV wakitaka CCM iwapende zaidi watengeneza vipindi vya kuwaponda wapinzani watalipwa luzuku kama TBC, uonevu unyanyasaji dhidi ya mbowe na walinzi wake siyo siri upo wazi sasa kila mpenda haki anaandamana moyoni kudai haki itendeke
 
Bado waandishi kwenye kivuli cha meko
Magufulegacy inazidi kujitokeza katika
1. Uoga kuliko wa watoto wa chekechea
2. Unafiki wa kupeleka mkono kinywani
3. Utumwa juu ya msingi wa uoga na unafiki.

OIP.e0ojZfav3R1IK1oy1sPDcwHaEK
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom