Hivi Kwanini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Kwanini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bintimacho, Jul 5, 2008.

 1. bintimacho

  bintimacho Member

  #1
  Jul 5, 2008
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMANI..
  HIVI KWANINI WAAFRIKA TUKISOMA NJE TUNALIPISHWA FEES KARIBU MARA KUMI ZAIDI YA WENYE NCHI...KAMA UK

  HALAFU WHEN IT COMES KUJA KUFANYA KAZI AFRIKA, MAKAMPUNI MENGI YATAMLIPA MWAFRIKA KIDOGO KULIKO MZUNGU with the policy that they come from a country with high cost of living.

  i find it so unfair..jamani wana JF NISAIDIENI
   
 2. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2008
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Jibu lake ni rahisi sana.. hao wenyeji wazazi wao wamelipa kodi kwenye hizo nchi kwa maana nyingine wameshiriki ktk kuzijenga nchi na wewe pamoja na familia yako hamjachangia chechote ktk hizo nchi sasa kwa nini upewe usichostahili uoni kama huo ni unyonyaji?
  kama unataka lipa shule maliza kusoma utafute kazi ulipe kodi halafu nafikiri watoto wako watakuwa nahaki ya kuuliza hilo swali lkni SI wewe.....
   
 3. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  DELETE
  I made mistake.


  .
   
  Last edited: Jul 5, 2008
Loading...