Hivi kwanini watumishi wa serikali kama TBS bado wanakua na kiburi cha kusumbua wananchi wenye nia ya kuwafanya maendeleo ya nchi?
Ni muda gani inachukua kupata majibu ya bidhaa za chakula baada kukaguliwa kiwandani? Process hizi hazina muda maalumu wa kuwa zimefungwa? Maana kila siku njoo juma tatu au ijumaa. Wiki zinaenda watu tunalipa mishahara na kodi mamilioni. Mbona balaa hii?