Hivi kwanini watu wakiachana/kupeana talaka hawafanyi sherehe

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Kwenye Pete ya uchumba...sherehe
Get together..sherehe
Pete ya ndoa ....sherehe
Ndoa...sherehe
Fungate...shereheeee
Nguumi...kimyaaaa
Kwa wazazi...kimyaaaa
Kkutengana...kimyaaaaaaaaa
Kurudiana....kimyaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuweka pattern na password....kimyaa
Kuvunjiana simu.....kimya
Kuchelewa kurudi home...kimy
Kurudi kesho...Kim

Kurudi na harufu ya mchepuko......ngumiiiii

Usiporudi....keleleeeee
Kila mtu...


Ukikaa baa na RAFIKI AKO.....chupaaaaaa paaaah!!

Ukiomba kutoa au kupokea TALAKA...Wana kamati HAWAONEKANI
 
Mi nikiachana na mtoto wa watu..naandaa kamati....mipango inapangwa...mziki,vinywajj na vyakula vya kutosha vinahusika....watu tunaenda kuchangia ukumbini.....na watu wa kutoa zawadi kama kawaida
 
Sherehe ya nini sasa.!???
Au hujui sherehe inaendana na Furaha.
 
Nature is always ordered.

Mungu anachukia kuachana.

Kwa hiyo kuna namna kwenye dhamiri za watu ameweka uwezo wa kutambua kuwa ikitokea kuachana ni chukizo Kwa hiyo haifai kusheherekea jambo lenye kumchukiza Mungu actually na Wanadamu pia.
 
images (6).jpeg
sherehe?
 
Back
Top Bottom