pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Kama ni kweli kwamba mnakichukia sana hamngekuwa mnaking'ang'ania kiasi hiki. Hebu tizama hii video ya Jiwe hapa chini, na kiingereza chake kibovu akisema, ''I am a politicians, I don't want to take this time as saying so many political'' .....''simple and clear is only congregation to you''.Wewe ni mjinga mjinga tu, kwani ze ze ni kitu gani. Jitu zima hovyo.