Hivi kwanini Watanzania huwa mnaanza na kiburi ila hatimaye mnaishia kuiga Wakenya

Tunakumbana nacho form one, sio form four. I know bush kenyans mzee, hawajui english wa swahili.

Nilipitiwa, yeah mnakumbana nacho form one kama tayari mumeanza kuota fuzi, lugha kuielewa vizuri anza ukiwa mdogo.
Nafuu sasa kuna baadhi yenu mumetia akili na kuwapeleka watoto English medium, Watanzania wa kizazi cha kesho watakua bora, sio kama nyie mnaoteswa na lugha.
 
Ahaaa haaa haaa
Achana na huyo jamaa na maneno yake ya kwenye khanga.
Siyo form one.
Ni darasa la tatu ndo tulifundishwa.

Those you call bush Kenyans you are referring, they are not considered as Kenyans coz are not residing in Nairobi. For them, anything outside Nairobery is not Kenya's.
 
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.

Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.

China is in the race to know English, you can check how many kenyans are employed in china to teach english, that speaks volumes considering how fast they grew their economy and how they are giving the US sleepless nights
 
Nilipitiwa, yeah mnakumbana nacho form one kama tayari mumeanza kuota fuzi, lugha kuielewa vizuri anza ukiwa mdogo.
Nafuu sasa kuna baadhi yenu mumetia akili na kuwapeleka watoto English medium, Watanzania wa kizazi cha kesho watakua bora, sio kama nyie mnaoteswa na lugha.

Ahaaa haaa haaa
Yale magonjwa ya stereotyping, generalisation, conservatism and myopia (we term them as psychological disorder).
Look now, you think the Tanzania's kids will be better simply because of uttering some words in queen's language.
Duuu
 
It's true they learn it, but they are not praising it like the way you Kenyans do. You feel you are more English than the Britons do.
 
Ahaaa haaa haaa
Yale magonjwa ya stereotyping, generalisation, conservatism and myopia (we term them as psychological disorder).
Look now, you think the Tanzania's kids will be better simply because of uttering some words in queen's language.
Duuu

Ndio ukweli huo, nina uhakika asilimia 100% kwamba wewe hapo kama kweli ni mzazi na una kipato cha maana lazima umempeleka mwanao kwenye shule ya English medium, humu utabisha tu ilmradi lakini kiundani mnalifahamu hilo kwamba mliteleza pakubwa sana kwa kukosa kufunzwa kingereza tangu mkiwa wadogo.
Uwezo wa kuongea kingereza ni muhimu sana haswa kwa jamii yenu ambayo mnaagiza nje hadi sindano, hamjabuni chochote wala kutengeneza chochote humo hata pipi. Hivyo mnategemea kuagiza kila kitu, yaani vitu vinakuja vikiwa na maelekezo kwa lugha ya kingereza, angalia hata settings za simu yako hapo ulipo, hata humu JF kila kitu kipo kwenye kingereza, ni sisi tu tunawasiliana kwa kiswahili.
Wakenya tunapenda lugha zetu za asili, tunapenda Kiswahili kinatuwezesha kuwasiliana kitaifa maana ndio lugha yetu ya taifa iliyo kwenye katiba, lakini pia kingereza tumekipa kipao mbele maana ndio lugha ya wajanja duniani, hauwezi ukafaulu kibiashara kama wewe ni mtu wa ze ze ze kama mlivyo huko kwenu, na ndio maana hata viongozi wenu wanaogopa kusafiri na kuongopa eti wanabana matumizi.
Kuongea kingereza kunataka uzoefu, wacha hilo la kuandika andika humu kwa kingereza maana unao uwezo wa kuhariri mara mia moja na kutumia dictionary pembeni kabla kubonyeza kitufe cha submit. Sisi tunakiongea tangu utotoni, mimi hapa nyumani naongea na wanangu kwa kilugha, ghafla tunatumia kiswahili, kisha unatukuta tukiongea kwa kingereza, ila wao shuleni wamejifunza kifaransa, huniacha kapa wakianza kukitumia. Ujanja wa lugha tangu utotoni, na ndio maana makampuni ya Tanzania yamekomalia kuwaajiri Wakenya sio hayo ya ze ze ze.
 
Nilipitiwa, yeah mnakumbana nacho form one kama tayari mumeanza kuota fuzi, lugha kuielewa vizuri anza ukiwa mdogo.
Nafuu sasa kuna baadhi yenu mumetia akili na kuwapeleka watoto English medium, Watanzania wa kizazi cha kesho watakua bora, sio kama nyie mnaoteswa na lugha.
Kwani form one ni mkubwa?
Na kwa taarifa yako sasa hivi Tz, english medium zinakimbiwa na watu sababu ya ubora na matokeo chanya yanayoonyeshwa na shule za serikali kwenye matokeo ya kitaifa.
 
Nilipitiwa, yeah mnakumbana nacho form one kama tayari mumeanza kuota fuzi, lugha kuielewa vizuri anza ukiwa mdogo.
Nafuu sasa kuna baadhi yenu mumetia akili na kuwapeleka watoto English medium, Watanzania wa kizazi cha kesho watakua bora, sio kama nyie mnaoteswa na lugha.
Form one ndio masomo yote yanakuwa in english, except somo la kiswahili.
Msingi kuanzia darasa la kwanza, huwa wanafundishwa somo moja la english masomo mengine huwa ni swahili.

Direction ni swahili iendelee kuanzia form one kuendelea, except somo la english, na watakao opt kusoma kwa english wataenda english mediums.
Litakuwa ni taifa lenye mnyumbuliko aina hiyo, nchi utakayokutana na perfect swahili and perfect english, kingereza cha kikenya kibaya sana. Kiswahili chenu nacho, poor. We're going to be so many people here, remember that.
Utaona kadhaa wanachapia english utashangaa bongo flavour inaimbwa in perfect english
 
Ndio ukweli huo, nina uhakika asilimia 100% kwamba wewe hapo kama kweli ni mzazi na una kipato cha maana lazima umempeleka mwanao kwenye shule ya English medium, humu utabisha tu ilmradi lakini kiundani mnalifahamu hilo kwamba mliteleza pakubwa sana kwa kukosa kufunzwa kingereza tangu mkiwa wadogo.
Uwezo wa kuongea kingereza ni muhimu sana haswa kwa jamii yenu ambayo mnaagiza nje hadi sindano, hamjabuni chochote wala kutengeneza chochote humo hata pipi. Hivyo mnategemea kuagiza kila kitu, yaani vitu vinakuja vikiwa na maelekezo kwa lugha ya kingereza, angalia hata settings za simu yako hapo ulipo, hata humu JF kila kitu kipo kwenye kingereza, ni sisi tu tunawasiliana kwa kiswahili.
Wakenya tunapenda lugha zetu za asili, tunapenda Kiswahili kinatuwezesha kuwasiliana kitaifa maana ndio lugha yetu ya taifa iliyo kwenye katiba, lakini pia kingereza tumekipa kipao mbele maana ndio lugha ya wajanja duniani, hauwezi ukafaulu kibiashara kama wewe ni mtu wa ze ze ze kama mlivyo huko kwenu, na ndio maana hata viongozi wenu wanaogopa kusafiri na kuongopa eti wanabana matumizi.
Kuongea kingereza kunataka uzoefu, wacha hilo la kuandika andika humu kwa kingereza maana unao uwezo wa kuhariri mara mia moja na kutumia dictionary pembeni kabla kubonyeza kitufe cha submit. Sisi tunakiongea tangu utotoni, mimi hapa nyumani naongea na wanangu kwa kilugha, ghafla tunatumia kiswahili, kisha unatukuta tukiongea kwa kingereza, ila wao shuleni wamejifunza kifaransa, huniacha kapa wakianza kukitumia. Ujanja wa lugha tangu utotoni, na ndio maana makampuni ya Tanzania yamekomalia kuwaajiri Wakenya sio hayo ya ze ze ze.
Unaongelea Tz ya 90's and early 2000's.
Sasa hivi watu wenye hela zao wanapeleka watoto government schools, english sio ishu tena. Watu wana namna nyingi za kujifunza english kuliko miaka hiyo
 
Form one ndio masomo yote yanakuwa in english, except somo la kiswahili.
Msingi kuanzia darasa la kwanza, huwa wanafundishwa somo moja la english masomo mengine huwa ni swahili.

Direction ni swahili iendelee kuanzia form one kuendelea, except somo la english, na watakao opt kusoma kwa english wataenda english mediums.
Litakuwa ni taifa lenye mnyumbuliko aina hiyo, nchi utakayokutana na perfect swahili and perfect english, kingereza cha kikenya kibaya sana. Kiswahili chenu nacho, poor. We're going to be so many people here, remember that.
Utaona kadhaa wanachapia english utashangaa bongo flavour inaimbwa in perfect english

Sasa hivi shule zisizofundisha kwa kingereza ndizo zinakimbiwa kwenu maana zinazalisha mabumbumbu, mtu umepata hadi degree hauwezi kuandika ripoti yoyote, naongea kwa uzoefu, binafsi nimewaona mlivyo sio kumbiwa.
Halafu hata hizo shule za medium nazo majanga maana walimu wenyewe ndio nyie ambao kingereza huwatesa, mnaishia kuwayumbisha watoto, hebu soma hii mada hapa https://www.jamiiforums.com/threads...vu-wazazi-wabaneni-wamiliki-wa-shule.1544654/
 
Ndio ukweli huo, nina uhakika asilimia 100% kwamba wewe hapo kama kweli ni mzazi na una kipato cha maana lazima umempeleka mwanao kwenye shule ya English medium, humu utabisha tu ilmradi lakini kiundani mnalifahamu hilo kwamba mliteleza pakubwa sana kwa kukosa kufunzwa kingereza tangu mkiwa wadogo.
Uwezo wa kuongea kingereza ni muhimu sana haswa kwa jamii yenu ambayo mnaagiza nje hadi sindano, hamjabuni chochote wala kutengeneza chochote humo hata pipi. Hivyo mnategemea kuagiza kila kitu, yaani vitu vinakuja vikiwa na maelekezo kwa lugha ya kingereza, angalia hata settings za simu yako hapo ulipo, hata humu JF kila kitu kipo kwenye kingereza, ni sisi tu tunawasiliana kwa kiswahili.
Wakenya tunapenda lugha zetu za asili, tunapenda Kiswahili kinatuwezesha kuwasiliana kitaifa maana ndio lugha yetu ya taifa iliyo kwenye katiba, lakini pia kingereza tumekipa kipao mbele maana ndio lugha ya wajanja duniani, hauwezi ukafaulu kibiashara kama wewe ni mtu wa ze ze ze kama mlivyo huko kwenu, na ndio maana hata viongozi wenu wanaogopa kusafiri na kuongopa eti wanabana matumizi.
Kuongea kingereza kunataka uzoefu, wacha hilo la kuandika andika humu kwa kingereza maana unao uwezo wa kuhariri mara mia moja na kutumia dictionary pembeni kabla kubonyeza kitufe cha submit. Sisi tunakiongea tangu utotoni, mimi hapa nyumani naongea na wanangu kwa kilugha, ghafla tunatumia kiswahili, kisha unatukuta tukiongea kwa kingereza, ila wao shuleni wamejifunza kifaransa, huniacha kapa wakianza kukitumia. Ujanja wa lugha tangu utotoni, na ndio maana makampuni ya Tanzania yamekomalia kuwaajiri Wakenya sio hayo ya ze ze ze.

Ahaaa haaa haaa
Povu bwana mdogo.
Tuko waTanzania wengi tu huku ughaibuni. Tunafanya kazi tofauti tofauti. Wengine madaktari, wahandisi, n.k Mimi binafsi nafanya kazi za ushauri na kufundisha. Na sisi wote tulisoma enzi zile ambapo shule za kiingereza. To cut the story short, the world need creativity, innovation. HATA wewe hapo mkikuyu ukivumbua kitu cha kusaidia dunia kwa kikikuyu. Watu watajifunza tu hiyo lugha yako. Fikiria ubunifu. Na sisi kiingereza.
 
Khaa! Kumbe nabishana na mzamiaji wa huko ughaibuni, mjadala unahusu Watanzania wanaoishi Tanzania na kuteseka kwa ajili ya kutoweza kuzungumza kingereza panapostahiki, sasa wewe hapo huna msaada wowote kwenye huu mjadala maana haukumbani na hilo tatizo.
Unawadanganya ndugu zako wakomae kwenye kiswahili ili waendelee kubaki nyuma kwenye ushindani wowote wa kimataifa.
 
Sasa hivi shule zisizofundisha kwa kingereza ndizo zinakimbiwa kwenu maana zinazalisha mabumbumbu, mtu umepata hadi degree hauwezi kuandika ripoti yoyote, naongea kwa uzoefu, binafsi nimewaona mlivyo sio kumbiwa.
Halafu hata hizo shule za medium nazo majanga maana walimu wenyewe ndio nyie ambao kingereza huwatesa, mnaishia kuwayumbisha watoto, hebu soma hii mada hapa https://www.jamiiforums.com/threads...vu-wazazi-wabaneni-wamiliki-wa-shule.1544654/
Sasa ww unabishana na mm, nikikuletea watu walioshika top twenty, majority wanatoka government schools. Wewe ulikutana na wa zamani hizo
 
Khaa! Kumbe nabishana na mzamiaji wa huko ughaibuni, mjadala unahusu Watanzania wanaoishi Tanzania na kuteseka kwa ajili ya kutoweza kuzungumza kingereza panapostahiki, sasa wewe hapo huna msaada wowote kwenye huu mjadala maana haukumbani na hilo tatizo.
Unawadanganya ndugu zako wakomae kwenye kiswahili ili waendelee kubaki nyuma kwenye ushindani wowote wa kimataifa.
Wewe ni mjinga mzee, sorry to say.
 
Sasa ww unabishana na mm, nikikuletea watu walioshika top twenty, majority wanatoka government schools. Wewe ulikutana na wa zamani hizo

Siwezi kubisha maana hata hizo medium zinafunzwa na nyie wa zamani watu wa ze ze ze, kama umeusoma huo uzi utaelewa jinsi lilivyo janga la taifa.
 
Wewe ni mjinga mjinga tu, kwani ze ze ni kitu gani. Jitu zima hovyo.
 
Back
Top Bottom