Hivi kwanini watanzania huwa hatupendi kukutana na watu wapya?

ERIK

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
623
314
Hivi kwanini watanzania huwa hatupendi kukutana na watu wapya? mfano unafikiria kuwa mfanya biashara mkubwa lakini mawazo yako unayo mwenyewe kichwani na ikitokea mtu ametaka kukufahamu unakataa hata kuwa rafiki yake wakati yeye anaweza kukusaidia hata mawazo ya kutimiza ndoto yako!!

unakuta msichana anataka kupata Mume mwema na anayemfaa alafu anashinda tu ndani, hata akisalimiwa DM haitikiii akibahatika kutoka ukikutana naye hajibu hata salamu end of the day analalamika hapati mtu anayemfaa sasa unategemea umpate vipi??

mimi nadhani tuanze kufahamiana hapa hapa JF tujenge marafiki wapya jamani..............
NB: nimeandika haya sababu mimi pia ni mmoja wa wahitaji wa marafiki wapya ila kwa faida
 
Muda mwingine huwa sio poa kuzoeana na kufahamiana na kila unayemuona, Umezunguka sana...sema unahitaji marafiki...
 
du kaka usituhukumu watz kwa hiyo hoja yako lakini ukisema baadhi ya watu hawapendi kukutana na watu wapya it does make sense maana kila binadamu humu duniani ana lifestyle yake!
 
Hivi kwanini watanzania huwa hatupendi kukutana na watu wapya? mfano unafikiria kuwa mfanya biashara mkubwa lakini mawazo yako unayo mwenyewe kichwani na ikitokea mtu ametaka kukufahamu unakataa hata kuwa rafiki yake wakati yeye anaweza kukusaidia hata mawazo ya kutimiza ndoto yako!!

unakuta msichana anataka kupata Mume mwema na anayemfaa alafu anashinda tu ndani, hata akisalimiwa DM haitikiii akibahatika kutoka ukikutana naye hajibu hata salamu end of the day analalamika hapati mtu anayemfaa sasa unategemea umpate vipi??

mimi nadhani tuanze kufahamiana hapa hapa JF tujenge marafiki wapya jamani..............
NB: nimeandika haya sababu mimi pia ni mmoja wa wahitaji wa marafiki wapya ila kwa faida
Be my friend Erik...ukiona sifit unaenda tu!
Ungependa?
 
Aisee yaani kwahiyo kwa sababu mwanamke ana shida ya kuolewa basi maana yake ndiyo amsikilize mwanaume yeyote tu atakayemtafuta?? Halafu siyo ninyi baadhi yenu mnaosemaga kuwa bongo hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke??
 
Hujanielewa mkuu, soma vizuri
 
Hivi kwanini watanzania huwa hatupendi kukutana na watu wapya? mfano unafikiria kuwa mfanya biashara mkubwa lakini mawazo yako unayo mwenyewe kichwani na ikitokea mtu ametaka kukufahamu unakataa hata kuwa rafiki yake wakati yeye anaweza kukusaidia hata mawazo ya kutimiza ndoto yako!!

unakuta msichana anataka kupata Mume mwema na anayemfaa alafu anashinda tu ndani, hata akisalimiwa DM haitikiii akibahatika kutoka ukikutana naye hajibu hata salamu end of the day analalamika hapati mtu anayemfaa sasa unategemea umpate vipi??

mimi nadhani tuanze kufahamiana hapa hapa JF tujenge marafiki wapya jamani..............
NB: nimeandika haya sababu mimi pia ni mmoja wa wahitaji wa marafiki wapya ila kwa faida
Kwakweli I need new friends with new ideas and vision....nimechoka marafiki wakuomba msada kila ukicha kisa unawazidi kipato namaarifa hawakuongezee chochote.......
 
Safii hii inatu cost wengi kumbe?? Most well come broh
 
Erik i guess now you realize you were wrong when you said that watz hapendi watu wapya but now you have watu wapya it's just a matter of time and connections that's all :)!
 
Safii hii inatu cost wengi kumbe?? Most well come broh
Unakaa narafiki zaidi ya miaka 10 stori zake Yanga na Simba akibadilisha kdgo mademu hajawahi hata kumiliki biashara ya 1m hajawahi kutoka nje ya mkoa duh huyu atakubadili kweli zaidi ya kua mzigo kwako eti "best wangu"....duh am tired of parasites am looking for progressive friends who are focused
 
Bora pombe kuliko watu.. Mibinadamu mihomo sapieni.. Minyani... Miji human being
 
Back
Top Bottom