Hahahaaa kumbe siko mwenyewe..hahaa nadhan yeye ni upande wa 2Wewe upo kundi hilo la wasomi? Maana mwandiko wako umecharanga sana.
Hahahahaha nimecheka sanaWe utakuwa kwenye kundi la wenye roho nzuri lazma
Ungesoma na wewe ungejua angalau kuandika kidogo ... tatizo mzee wako alipokupeleka shule wewe ulikua unaishia porini..Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
Hivj uliishia darasa la ngapi?.Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
Kabisaa!!!Wewe upo kundi hilo la wasomi? Maana mwandiko wako umecharanga sana.
Sio Kweli.Wasomi Wana hasira muda mwingi waliupoteza masomoni,Sasa Wana shangaa wasiosoma Sana Wana pesa kuliko wao.ndio maana wanaweka Sheria kandamizi.
Mmmhhh.Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
Mheshimiwa, hata kama hujasoma kivile! Ila uwe unajitahidi kuandika maneno kwa ufasaha! Yaani wewe unaunganisha tu!! Kwa hali hii hao Wasomi watakupenda kweli!! 'mbayasana......zakukandamizawanyo.......kulikovyeo' naombatujadili!!! Aaaaaaargh!!! 😞Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
Thibitisha ndugu.Sio Kweli.