Hivi kwanini wasomi wanakuwa na roho mbaya kuliko watu ambao sio wasomi

mpandaone

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
474
251
Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
 
Ungesoma na wewe ungejua angalau kuandika kidogo ... tatizo mzee wako alipokupeleka shule wewe ulikua unaishia porini..
 
roho mbaya haina mtu aalumu

ukiona msomi wa ngazi uliyotaja ana roho mbaya, elewa kua huyo amesoma kufaulu mtihan wa academics tu, na hakupata maarifa mapana ya elimu aliyoisomea.

yapo matukio ya mtu wa ngazi ya chini kielimu na kihadhi, anamshinda ustaarabu/kujali/kujitambua zaid kuliko aliesoma.
 
Mkuuu rudi shule ukasome Gumbaru ujue japo kuandika Vzuri. Suala la roho mbaya au roho nzuri halina Mahusinao na Kiwango cha Elimu ya Mhusika.

Roho nzuri ama mbaya ni dhana pana yaweza kuchangiwa na Malezi na Makuzi ya Mhusika, Matukio ya Kimaisha aliyokumbana nayo Mhusika, Mazingira yanayomzunguka mlengwa ikiwemo aina ya Marafiki, Utamaduni wake nk.

Lkn pia dhana ya Roho nzuri au Mbaya hutofautiana kutoka Mtu mmoja hadi mwingine.

Unachokiona wewe Roho Mbaya mwingine anakiona Roho nzuri. Kwa Mfano Suala la Mhe. JPM kuwaondoa kazini Wenye Vyeti feki, kuna wengine wanasema ni Roho/Nia nzuri ili wenye Sifa waajiriwe. Lkn dhana hiyo hiyo kuna wanaosema ni Roho/Nia mbaya! So dhana ya roho nzuri au mbaya haiwezi kuwa Universal Mkuu.
 
Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
Hivj uliishia darasa la ngapi?.
 
Ila kuna ukweli fulani. Yaani ata zile fair za kishkaji hawanaga wanasimamia mistari. Nyeus Nyeus Nyeupe Nyeupe.
 
Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
Mmmhhh.

Huu muandiko upo hovless kabisaa
 
Naomba mojakwakwamoja niende kwenyemada yangu unakutamtu aliyosomasana wakipatavyeo wanarohoo mbayasana kulikovyeo hivohivikishikiliwa nawatu sio wasomo maanaunamkutamtu ana PhD lakinindioananzishasheria kandamizi zakukandamizawanyo naombatujadili
Mheshimiwa, hata kama hujasoma kivile! Ila uwe unajitahidi kuandika maneno kwa ufasaha! Yaani wewe unaunganisha tu!! Kwa hali hii hao Wasomi watakupenda kweli!! 'mbayasana......zakukandamizawanyo.......kulikovyeo' naombatujadili!!! Aaaaaaargh!!! 😞
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom