Hivi kwanini wasichana waliyopigwa kibuti huwa warembo zaidi?

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Nafanya utafiti na muda si mrefu nitatoa matokeo. Ushahidi wa awali unaonesha kuwa wasichana wakiwa na ma-boyfriends huwa hawajali urembo wao na kujitunza sababu hawana wasiwasi. Lakini inapotokea wamepigwa kibuti wanaanza kupendeza nadhani kusudi ni kumtega mwingine.

Hili limetokea vyuoni ambapo mara hawa wasichana wanapokuwa wamewapata marafiki wa kiume ambao wengi wanakuwa si wanafunzi wenzao huwa na dharau na kiburi. Lakini wanapoachika wanabadilika na kuwa more friendly na wanavutia.

Kuna hoja nyingi sana lakini wana Jf mnamaoni pia. Mimi naona wanabadilika ili watege upya lakini wengi wanaishia bila kunafanikiwa na ikitokea ukamtongoza ni mwepesi kukubali.
 
Nafanya utafiti na muda si mrefu nitatoa matokeo. Ushahidi wa awali unaonesha kuwa wasichana wakiwa na ma-boyfriends huwa hawajali urembo wao na kujitunza sababu hawana wasiwasi. Lakini inapotokea wamepigwa kibuti wanaanza kupendeza nadhani kusudi ni kumtega mwingine. Hili limetokea vyuoni ambapo mara hawa wasichana wanapokuwa wamewapata marafiki wa kiume ambao wengi wanakuwa si wanafunzi wenzao huwa na dharau na kiburi. Lakini wanapoachika wanabadilika na kuwa more friendly na wanavutia. Kuna hoja nyingi sana lakini wana Jf mnamaoni pia. Mimi naona wanabadilika ili watege upya lakini wengi wanaishia bila kunafanikiwa na ikitokea ukamtongoza ni mwepesi kukubali.

We sema kama anakuvutia uliyempiga kibuti, usione soo we sema naye tu
 
mmmms si kwamba ulivyompiga kibuti ndo ukaona kuwa ni mrembo? si unajua you dont know what u've got till its gone
 
Nafanya utafiti na muda si mrefu nitatoa matokeo. Ushahidi wa awali unaonesha kuwa wasichana wakiwa na ma-boyfriends huwa hawajali urembo wao na kujitunza sababu hawana wasiwasi. Lakini inapotokea wamepigwa kibuti wanaanza kupendeza nadhani kusudi ni kumtega mwingine.

Hili limetokea vyuoni ambapo mara hawa wasichana wanapokuwa wamewapata marafiki wa kiume ambao wengi wanakuwa si wanafunzi wenzao huwa na dharau na kiburi. Lakini wanapoachika wanabadilika na kuwa more friendly na wanavutia.

Kuna hoja nyingi sana lakini wana Jf mnamaoni pia. Mimi naona wanabadilika ili watege upya lakini wengi wanaishia bila kunafanikiwa na ikitokea ukamtongoza ni mwepesi kukubali.

bwanawee vp..aikunogei tabia i?
nini mbaya?
kupigwa kibut?
kuwa mrembo?
awajijali wanapokuwa na mabofrend wao?
wanajiremba ili watege?

2me sjakuelewa ata nukta KIINI CHA TATIZO LAKO...

afta loh naona umedanganya tu apa et mtu anakuwa mrembo afta kuachwa bt akiwa na bfrend anakuwa wakawaida...U UWONGO.

CHEK FRESH then njoo tena...nyuma geukaaaaa aya nenda kajipange...

dzain afta kumwacha amepata men mwngne anayemwezesha na kumlea fresh so anapendeza now..na si km anatega ana mtu anayemwezesha kupendeza
 
Tatizo la midume mingi inapenda ikiachana na msichana, achanganikiwe hadi awe mchafu..
Wewe ukisema wanini wenzio wanamtamani
Keep up wasichana mkiachwa na hivi viongo jiwekeni chicha hadi waone wivu kama huyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom