Hivi kwanini washabiki wa soka tunaidharau Azam namna hii?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,165
9,376
leo nimebanwa na majukumu sikufuatilia mechi!nimerudi jion hii, nikaona ngoja niingie JF, jungu kuu.

Cha ajabu hakuna anayrzungumzia mechi ya Azam, malumbano ni Yanga na Simba!

Yaani timu inashiriki michusno ya kimatataifa, bado mnaziona Simba na Yanga pekee!

Azam mwaka huu inachukua ubingwa wa shirikishomuone aibu.
 
Suala la azamu tuwaachie wenye timu yao, sisi tunazungumzia timu zetu bhana,

mbona kmc hawakulalamika!
 
Back
Top Bottom