Hivi kwanini wasanii wetu wabongo ni kama wake wenza

CHIKITO

Member
Dec 3, 2012
44
4
Hii inatokana na tabia zao ambazo ni binafsi naita ni ushamba,ujinga,kutokujitambua Haiwezekani msanii mkubwa kama ALLY KIBA ANasema yeye collabo na diamond na ommy dimpoz ni kama kudeki bahari hizi za wapi jamani.
 
Sasa hayo ni mambo yake binfsi unataka kumuingiliaa,ina maaba we watu hua unaelewana nao wotee,mtu hufanya kitu moyo hupenda
 
Sasa hayo ni mambo yake binfsi unataka kumuingiliaa,ina maaba we watu hua unaelewana nao wotee,mtu hufanya kitu moyo hupenda
maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vile
 
maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vile

Unajuaje kama hawa nao hawa-feki ili wawe talk of town mwishoni mwa mwaka?
 
Back
Top Bottom