tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,809
- 15,057
Hello Jf.
Kuna kautafiti kangu kasiko rasmi nimekuwa nakafanya kisirisiri,nimegundua kwamba wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa,utakuta anajipiga picha kwa kutumia simu but atahakikisha lazima pete yake ya ndoa inaonekana kwa watazamaji.
Hivi hii huwa ina maana gani wakuu?