KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 25,966
- 56,080
No mi mtu ya kaskazini huko..Hahahahahahaha Kenzy wewe ni Mtu wa Tanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No mi mtu ya kaskazini huko..Hahahahahahaha Kenzy wewe ni Mtu wa Tanga?
ooh sasa mahaba haya umeyatoa wapiNo mi mtu ya kaskazini huko..
Kuna vitu huwa vinajihifadhi tu Ila huwa vinabainika pale ikipatikana kiboko yake..ooh sasa mahaba haya umeyatoa wapi
Muongo tutajuaje-Mbona mi sina elimu
-Tegemezi
lakini sio mwanga?
nithibitishaje mkuu?Muongo tutajuaje
Si ndio kasema wanawake ote including your motherkwani mama yako pia ni mchawi?
Ndo mana kasema wanawake ote akiwemo mamayake na mamayako na dadaako na shangazi yakokwani mama yako pia ni mchawi?
Mimi si urafiki tu mpaka kutafuta miti shamba na wateja wakubwa sana ni kina dada ambao ukiwasikiliza vizuri wanakuwa wanahitaji wanaume wenye fedha ili kujikimu akina mama wao kuwafunga waume zao. Lakini pia kuna kipindi walikuja sana vijana wa kiume wao waliwalenga hasa watalii wanawake wa kizungu wanaokuja katika projects nchini au utalii ili wapate bahati ya kwenda huko ughaibuni. Ila wengi hawakufanikiwa huo ndiyo ukweli Sasa sijui kuna nini hapo ila wabongo kwa wabongo watu walileta Sana zawadi. Nikikumbuka hayo maisha najifunza Sana kuwahusu wanawake. Mpaka wengine waliwahi kukutana hapo kwa babu nyumbani wakapigana yani wanajuana vizuri wanamilikiwa na mtu mmoja. Babu akawatimua wote. Tangu kufariki kwake biashara ikaishia hapo. Ila tulijifunza mengi sana kuna mambo yapo ila ulihadisiwa huwezi amini. Ila tofautisha ukweli na uhalisia, tukibaki katika uhalisia tuwe makini mno na wanawake kuna mama alikuwa mdini kabisaa ila aliwahi kuja amtulize mmewe. Nimeandika kwa uzoefu siyo masimulizi.Mtoa mada upo sawa kabisa, kuna kipindi fulani niliwahi kuwa na ukaribu sana na babu fulani aliyekuwa mganga wa kienyeji. Mara nyingi wanawake ndiyo walikuwa wateja wake wengi na moja kati ya kesi zao kubwa ni kuroga waume zao, kutafuta dawa ya mvuto na mara chache sana kuona wakiomba dawa za biashara.
Kwa asilimia kubwa ya wanawake kwa nchi hii ndiyo wanaongoza kuwa washirikina, sijui kwa nchi zingine huko.
Wewe mwanamke gani kakuumiza na ushirikina...Ndo nyie mnauwaga mama zenu kwa kuwatuhumu wanauwaulia watoto au wanawaroga....MAMA aangaike na wewe tangu tumboni...alafu eti aje kukurogaBila kusita nasema ivi Asilimia kubwa ya jamii ya kike ni wachawi ,washirikina.
Ila swala muhimu ni jinsi ya kuutoa huo uchawi walio nao tu hakuna namna . Mana wanatuumiza sana Hawa.
Wewe ukaribu na.mganga wa kienyeji ulikuwa wa nini...kama nawewe sio miongoni mwao..?Mtoa mada upo sawa kabisa, kuna kipindi fulani niliwahi kuwa na ukaribu sana na babu fulani aliyekuwa mganga wa kienyeji. Mara nyingi wanawake ndiyo walikuwa wateja wake wengi na moja kati ya kesi zao kubwa ni kuroga waume zao, kutafuta dawa ya mvuto na mara chache sana kuona wakiomba dawa za biashara.
Kwa asilimia kubwa ya wanawake kwa nchi hii ndiyo wanaongoza kuwa washirikina, sijui kwa nchi zingine huko.
Mbona mnamshutumu mwanamke bila Uthibitisho..mjomba wako kukunyima hela ina maana kalogwa na mkewe..Ina maana wewe unataka upewe na ufaidi vya wengine... Ukinywimwa kuna mkono wa mtu...utaishi maisha ya shida kuhisi watu wanakuroga na wanahangaika na wewe tuMkuu sisi sote ni watu wazima, hakuna mtu mwenye balehe hapa we are seriously. This kampeni tokomeza uchawi kwa wanawake
Hapana mzazi wangu hawezi kuniloga. Labda majiraniWewe mwanamke gani kakuumiza na ushirikina...Ndo nyie mnauwaga mama zenu kwa kuwatuhumu wanauwaulia watoto au wanawaroga....MAMA aangaike na wewe tangu tumboni...alafu eti aje kukuroga
Walishakaa wakawa wanapiga story na shetani.
Wao na shetani ni marafiki wa enzi.
Au umeshasahau hadithi ya kule eden?