Hivi kwanini wanawake wanampenda mwanaume anaepaka breach?

Daaah aisee hapa mtaani kwetu kuna jamaangu mmoja tozi sana anapenda kupaka breach jamaa anawala mademu sana kila kukicha bila kuwapa hela kuna demu mmoja ni rafk angu aliniambia dah yule jamaako nazipenda sana nywele zake nikamwambia duh akasema ndio maana nasikia anakimbiza mtaa mzima sisi wanawake tunapenda wanaume watanashati wanaopaka breach.

Hivi kwann wanawake wanapenda wanaume wanaopaka breach kichwani?
Mkuu sema unapaka breach na unataka sapoti ya sisi wazee wako
Breach acha kabisa zimekaa kama mchele wa mbalali
 
Hao watakuwa ni wasichana sio wanawake. Soon shule zikifunguliwa hatutosikia mada mufilisi kama hizi.
 
Labda unaongelea watoto wa kike yaani wadogoo, yaani na utu uzima huu sijawahi kupenda wapaka bleach na sidhani kama ntakuja kuwaelewa. Being smart si lazima kuwe na mableach
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom