Habarini wakuu nimekuwa na mazoea ya kujisocialize na wadada mbalimbali ku wasalimia name kupiga stories nao salsa kila ninayemuomba namba ya simu wanapunguza upendo kwangu na muda mwingi tukikutana Ananipotezea hakusalimii na ukiwapigia simu hawapokei hivi ni nini tatizo walilonalo hawa wadada wakuu