Hivi kwanini wanawake hawawatafuti wanaume wenye bikra?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,730
10,057
just curious, habari zenu wadau!

nimejiuliza sana hili suala la muda mrefu! nimeona sasa ni bora nililete hapa tujadiliane!

imekuwa kama kasumba hivi kwa wanaume kulilia wanawake wenye bikra!! kila leo hawakosi mpaka wengine wanatangaza dau za mamilioni kununua bikra hizo!

sasa mi binafsi ninachojiuliza, kwanini wanawake wenyewe huwa hawatafuti vidume wenye bikra?

je, wanahisi utendaji kazi utakuwa chini ama vipi?

je, wanawake wanapokutana na wanaume wenye ubikra, hali huwa inakuaje?

ni hayo tu waungwana!
 
Hivi hata wakiamua kutafuta wanaume bikra watathibitisha vipi?!

Labda kutokana na mhusika kukosa uzoefu.....
 
Duh! na hasa utamjuaje mwanamme Bikra?manake mambo ya sikuizi cheni faki na dola feki....
 
Hawezi kujitokeza mtu anaulizia mwanamme bikra. Hata mabarubaru watajitokeza
 
Wakati wanawake wanataka mwanaume mwenye uzoefu kazini ili mradi asiwe na mke/watoto.
 
Back
Top Bottom