Hivi kwanini wanaume wanapenda kusikikiza maneno ya watu??

Phenomenon Lady

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
407
242
Yani unakuta mtu kanuna kabisa kisa maneno ya kuambiwa halafu maneno yenyewe unakuta hayana ukweli hata kidogo!!
Wanaume wanapenda sana kusalitiwa,usipomsaliti atafanya juu chini mpaka umsaliti hata kwa hasira
 
Pole sana. Tunapenda kusikia kwakuwa tuna masikio mawili kama wanawake.

Hatupendi kuongea kwa kuwa tuna mdomo mmoja na si miwili kama wanawake.
 
calm down hun...kwani kakufanyaje tena
 
Pole sana. Tunapenda kusikia kwakuwa tuna masikio mawili kama wanawake.

Hatupendi kuongea kwa kuwa tuna mdomo mmoja na si miwili kama wanawake.

Aisee kwa hiyo sababu ya wanawake kupenda kuongea ni kutokana na wao kuwa na midomo miwili..?
 
Aiseee mbona hata wanawake wanapenda sana kusikiliza maneno tena wananunaga haooo!
 
Yani unakuta mtu kanuna kabisa kisa maneno ya kuambiwa halafu maneno yenyewe unakuta hayana ukweli hata kidogo!!
Wanaume wanapenda sana kusalitiwa,usipomsaliti atafanya juu chini mpaka umsaliti hata kwa hasira

Nakushauri kama bado unahasira, njoo huku tumsaliti huyo mwanaume wako
 
Yani unakuta mtu kanuna kabisa kisa maneno ya kuambiwa halafu maneno yenyewe unakuta hayana ukweli hata kidogo!!
Wanaume wanapenda sana kusalitiwa,usipomsaliti atafanya juu chini mpaka umsaliti hata kwa hasira

Duh!Pole yake kidume mwenzangu. Kwahiyo umeshagegedwa na vidume wengine sasa?
 
Yani unakuta mtu kanuna kabisa kisa maneno ya kuambiwa halafu maneno yenyewe unakuta hayana ukweli hata kidogo!!
Wanaume wanapenda sana kusalitiwa,usipomsaliti atafanya juu chini mpaka umsaliti hata kwa hasira

wee phenomenon lady, hapa swala sio kaambiwa ama hajaambiwa! hoja ya msingi ni 1. umemsaliti ama haujamsaliti? 2. Kama hujamsaliti basi you have created conducive environment for you kufikiriwa kuwa umesaliti!
Kumbuka pale ambapo ushahidi wa kisayansi unakosekana, basi ushahidi wa kimazingira (ambao ndio unaokuponza ww kwa hapa) unatosha kukutia hatiani na ndio maana jamaa kaamua kununa!
Na ni bora huyo kaamua kununa, mwingine angechukua uamuzi mgumu na mbaya zaidi wenye madhara zaidi ya madhara kununa, elewa anunae anataka suluhisho mezani, kama asingetaka muafaka asingenuna, angethubutu, kwisha!
 
Hadi maneno yanifikie mimi Mwanaume haswa kwa kutoka kwa Mwanaume mwenzangu basi yana ukweli ndani yake.
 
hadi na jishangaa... hivi hao ni wanaume au watoto wakiume...!

Wanaume wanaosikiliza maneno ya wapambe na kununa bila kufanya uchunguzi!
Ila mwanaume anayependa kununa anakera kwa kweli
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom