Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya

Haya,leo zamu ya wafupi 😂😂😂
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers 🤣
Mara nyingi makundi haya matatu huguswa mara kibao:-
1.singo maza
2.Vijana wenye umri mkubwa ambao bado wanaishi kwa wazazi
 
Mavaz bhana!
Kwanza suti hapa duniani huwapendeza watu wachache sana,mimi nazani ambao niliwah kuwaona wamependezwa na suti hawazid hata 10.

Afu suruali kwa wadada pia ambao huwa inawapendeza ni wachache sana,mwanamke kama hana hips hapaswi kuvaa suruali
 
kuna jamaa alinipa research kwamba wanaume wafupi ndio huongoza kwa mafanikio kwasababu wanafight sana ili washindane na warefu kwenye kupendwa na mademu. ukweli ni kwamba, kama wanaume wote wangekuwa na pesa kiwango sawa wakapangwa mstari hapo, wanawake wakaambiwa wakachague nani awaoe, wafupi wangekuwa single fathers.
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya

Haya,leo zamu ya wafupi 😂😂😂
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers 🤣
😅😅😅
 
Mkuu usilalamike sana,mbona hapa kila siku utasikia mwanamke ana sura ya babake simtaki au mwanamke hana tako mimi simtaki je kwan hao nao wamejiumba??
Haki iwe sawa, mwanamke asie na sura nzuri au tako hakujiumba na wanaume wafupi au warefu hawajajiumba nyie wanaume ndio wa kwanza kutoa kasoro za kimaumbile kwa wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni wapi nilisema walijiumba mwanangu kama siyo kusingiziana bure?
 
kuna jamaa alinipa research kwamba wanaume wafupi ndio huongoza kwa mafanikio kwasababu wanafight sana ili washindane na warefu kwenye kupendwa na mademu. ukweli ni kwamba, kama wanaume wote wangekuwa na pesa kiwango sawa wakapangwa mstari hapo, wanawake wakaambiwa wakachague nani awaoe, wafupi wangekuwa single fathers.
Usichokijua wanaume wanaaongoza kwa kupendwa sio hata hao warefu! Wanaume wafupi wako so charismatic!!! Wana vitu vinavyowafanya wanawake wengi happy wakiwa around😅😅😅 wacheshi sana mf. Joti

Kama unabisha fuatilia hilo hata mtaani kwenu tu utagundua!
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya

Haya,leo zamu ya wafupi
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers
kwani huyu mtoa mada ni single mother nauliza tu mkuu?
 
kuna jamaa alinipa research kwamba wanaume wafupi ndio huongoza kwa mafanikio kwasababu wanafight sana ili washindane na warefu kwenye kupendwa na mademu. ukweli ni kwamba, kama wanaume wote wangekuwa na pesa kiwango sawa wakapangwa mstari hapo, wanawake wakaambiwa wakachague nani awaoe, wafupi wangekuwa single fathers.
Kama wangechagua warefu tupu means pia single mothers wangekua wengi sababu warefu ni wachache
 
huu uzi nilitegemea utakuwa mfupi kweli, ila naona unaenda tuu km maandamano ya BAWACHA 😂 😂
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Similar Discussions

Back
Top Bottom